Uchaguzi 2020 Bernard Membe: Ni uchaguzi wa kishindo

Uchaguzi 2020 Bernard Membe: Ni uchaguzi wa kishindo

Membe ni CCM kazini. Membe anachoenda kufanya ni Divide and rule tu,sijui hawa Kina Zito na Mbowe hawajaliona hili? au kwa Maslahi yao mapana binafsi
Zitto knows. Yeye hana shida na urais maana anajua fika Membe hana ubavu huo. Anachotaka Zitto ni kumtumia Membe kwa kiasi flani kupata wabunge kadhaa na idadi ya juu kidogo ya kura za urais ili RUZUKU ya ATC iwe kubwa sana.

It is all about MATUMBO yao. They dont care about nyie wapiga kura ambao mnaweza hata kuvunjwa miguu in the process ya kulinda kura zao
 
Zitto knows. Yeye hana shida na urais maana anajua fika Membe hana ubavu huo. Anachotaka Zitto ni kumtumia Membe kwa kiasi flani kupata wabunge kadhaa na idadi ya juu kidogo ya kura za urais ili RUZUKU ya ATC iwe kubwa sana. It is all about MATUMBO yao. They dont care about nyie wapiga kura ambao mnaweza hata kuvunjwa miguu in the process ya kulinda kura zao

Wewe unamjali nani?
 
Kwanini hakujiuzuru baada ya kuona tume iliyompa ushindi haikuwa tume huru.?
Huyu ni waziri batili kwa tume hiyohiyo , kwa nini ameiasi.
 
Kama vipi akalichukue jimbo la mtama. All in all ACT wanaenda kuzipata kura nyingi za kidini plus za Zenji na huenda kikawa ndio chama kikuu cha upinzani baada ya wapinzani kugawana kura.
 
Acha kukariri , unataka kutuaminisha Magufuli ndiye kamtuma Membe?

Yule ni mamluki na pandikizi Kama Lowasa na sumaye baada ya kuzigawa kura za upinzani atarudi ccm kwa maigizo ya kusamehewa Kama wenzake waliorudi.Hata hizi bifu za kudukuana na kumpa musiba ni michezo ya ccm kuelekea uchaguzi kwa kuwahadaa wapinzani.

Atarudi ccm baada ya kazi.
ACT wasifanye kosa la chadema 2015
 
Membe si asset wala liability. yaani yupo yupo tu. ukiwa naye hana madhara/faida na usipokuwa naye pia hana madhara/faida.

yupo yupo tu.

mpinzani yeyote atakayempokea Membe na kumpa candidature ya urais, mpinzani huyo naye anaangukia kwenye kundi hilo - yaani naye atakuwa ni yupo yupo tu.
 
Zitto knows. Yeye hana shida na urais maana anajua fika Membe hana ubavu huo. Anachotaka Zitto ni kumtumia Membe kwa kiasi flani kupata wabunge kadhaa na idadi ya juu kidogo ya kura za urais ili RUZUKU ya ATC iwe kubwa sana. It is all about MATUMBO yao. They dont care about nyie wapiga kura ambao mnaweza hata kuvunjwa miguu in the process ya kulinda kura zao
Membe hana "political pull" yoyote. hana wafuasi ndani wala nje ya CCM, labda wale wa kijijini kwake tu. 2005 - 2015 alikuwa akisafiria nyota ya JK tu.

nashindwa kuwaelewa wanaodai akienda upinzani eti ata boost idadi ya wabunge na idadi ya kura za urais. kwa lipi haswa alilo nalo? narudi kusema.... chinga boy hana mvuto wowote kisiasa!

kama Lissu hawezi kugombea kwa sababu yoyote ile then bora Zitto mara mia kuliko Membe.
 
Hakika safari ya kishindo imeanza kuelekea Oktoba 2020
 
Membe ni CCM kazini. Wapinzani wanaenda kulazimishwa kugawana Kura, hauwezi kushindana na CCM mkiwa nyinyi wenyewe hamjaungana. Membe anachoenda kufanya ni Divide and rule tu,sijui hawa Kina Zito na Mbowe hawajaliona hili? au kwa Maslahi yao mapana binafsi wanaenda Kunufaika na huyu Membe. Bila kuungana upinzani na kusimamisha mgombea mmoja, kuitoa CCM 2020 ni ndoto za Abunuwasi. Muda ndo msema kweli.
Naamini Zitto anajua vema anachofanya na anafahamu hiki kinachofanyika na motive yake.Mbowe ni nati isiyo na kazi kwenye hii mashine.
Kaka wa Upinzani alikua NCCR, akabadilishwa na CHADEMA na sasa mdogo wao anazaliwa mpya...ACT.

"NAMNA BORA KABISA YA KUUDHIBITI UPINZANI NI KWA WATAWALA KUUONGOZA WAO WENYEWE"..........Lenin.
 
Back
Top Bottom