Kama mtihani tufeli pamoja.Wananchi watachagua upinzani halafu Membe atachagua ccm kupitia kugawanya kura..
Mamba nje ya maji ni mjusi
Angekuwepo sana angejua namna ya kuchanga na kuzicheza vizuri karata zake.Kisiasa huyu bwana bado yupo?
Kisiasa huyu bwana bado yupo?
Magufuli tumemwelewa unapoteza muda wako. Hatutaki kuturudisha uturudishe tulikotoka. Tunasonga mbele na Magufuli.
Yule ni mamluki na pandikizi Kama Lowasa na sumaye baada ya kuzigawa kura za upinzani atarudi ccm kwa maigizo ya kusamehewa Kama wenzake waliorudi. Hata hizi bifu za kudukuana na kumpa musiba ni michezo ya ccm kuelekea uchaguzi kwa kuwahadaa wapinzani.Membe ni CCM kazini. Wapinzani wanaenda kulazimishwa kugawana Kura, hauwezi kushindana na CCM mkiwa nyinyi wenyewe hamjaungana. Membe anachoenda kufanya ni Divide and rule tu,sijui hawa Kina Zito na Mbowe hawajaliona hili? au kwa Maslahi yao mapana binafsi wanaenda Kunufaika na huyu Membe. Bila kuungana upinzani na kusimamisha mgombea mmoja, kuitoa CCM 2020 ni ndoto za Abunuwasi. Muda ndo msema kweli.
Jipe moyoMembe ni CCM kazini. Wapinzani wanaenda kulazimishwa kugawana Kura, hauwezi kushindana na CCM mkiwa nyinyi wenyewe hamjaungana. Membe anachoenda kufanya ni Divide and rule tu,sijui hawa Kina Zito na Mbowe hawajaliona hili? au kwa Maslahi yao mapana binafsi wanaenda Kunufaika na huyu Membe. Bila kuungana upinzani na kusimamisha mgombea mmoja, kuitoa CCM 2020 ni ndoto za Abunuwasi. Muda ndo msema kweli.