Consultant
JF-Expert Member
- Jun 15, 2008
- 11,503
- 20,892
Zitto knows. Yeye hana shida na urais maana anajua fika Membe hana ubavu huo. Anachotaka Zitto ni kumtumia Membe kwa kiasi flani kupata wabunge kadhaa na idadi ya juu kidogo ya kura za urais ili RUZUKU ya ATC iwe kubwa sana.Membe ni CCM kazini. Membe anachoenda kufanya ni Divide and rule tu,sijui hawa Kina Zito na Mbowe hawajaliona hili? au kwa Maslahi yao mapana binafsi
Zitto knows. Yeye hana shida na urais maana anajua fika Membe hana ubavu huo. Anachotaka Zitto ni kumtumia Membe kwa kiasi flani kupata wabunge kadhaa na idadi ya juu kidogo ya kura za urais ili RUZUKU ya ATC iwe kubwa sana. It is all about MATUMBO yao. They dont care about nyie wapiga kura ambao mnaweza hata kuvunjwa miguu in the process ya kulinda kura zao
Hana ushawishi wowote huyu
Hana nyimbo tena huyo. Ni hadithi ya jana. Lishe imechacha.
Yule ni mamluki na pandikizi Kama Lowasa na sumaye baada ya kuzigawa kura za upinzani atarudi ccm kwa maigizo ya kusamehewa Kama wenzake waliorudi.Hata hizi bifu za kudukuana na kumpa musiba ni michezo ya ccm kuelekea uchaguzi kwa kuwahadaa wapinzani.
Atarudi ccm baada ya kazi.
ACT wasifanye kosa la chadema 2015
Muunganiko wa vyama unakujaWananchi watachagua upinzani halafu Membe atachagua ccm kupitia kugawanya kura..
Membe hana "political pull" yoyote. hana wafuasi ndani wala nje ya CCM, labda wale wa kijijini kwake tu. 2005 - 2015 alikuwa akisafiria nyota ya JK tu.Zitto knows. Yeye hana shida na urais maana anajua fika Membe hana ubavu huo. Anachotaka Zitto ni kumtumia Membe kwa kiasi flani kupata wabunge kadhaa na idadi ya juu kidogo ya kura za urais ili RUZUKU ya ATC iwe kubwa sana. It is all about MATUMBO yao. They dont care about nyie wapiga kura ambao mnaweza hata kuvunjwa miguu in the process ya kulinda kura zao
Ukikua utayaelewaAcha kukariri , unataka kutuaminisha Magufuli ndiye kamtuma Membe?
Aise.Wananchi watachagua upinzani halafu Membe atachagua ccm kupitia kugawanya kura..
Naamini Zitto anajua vema anachofanya na anafahamu hiki kinachofanyika na motive yake.Mbowe ni nati isiyo na kazi kwenye hii mashine.Membe ni CCM kazini. Wapinzani wanaenda kulazimishwa kugawana Kura, hauwezi kushindana na CCM mkiwa nyinyi wenyewe hamjaungana. Membe anachoenda kufanya ni Divide and rule tu,sijui hawa Kina Zito na Mbowe hawajaliona hili? au kwa Maslahi yao mapana binafsi wanaenda Kunufaika na huyu Membe. Bila kuungana upinzani na kusimamisha mgombea mmoja, kuitoa CCM 2020 ni ndoto za Abunuwasi. Muda ndo msema kweli.
Hata KANU walikuwa na mawazo hayo hayo ila hakika wamebaki HistoriaUkikua utayaelewa
Kwenye umasikini