Uchaguzi 2020 Bernard Membe: Ni uchaguzi wa kishindo

ACT waungane na CDM mgombea awe lisu na mgombea mwenza awe Membe,waachiane majimbo pale chama kinapokubalika, Zanzibar na kusini waachiwe ACT bara yote waachiwe CDM.
 
ACT waungane na CDM mgombea awe lisu na mgombea mwenza awe Membe,waachiane majimbo pale chama kinapokubalika, Zanzibar na kusini waachiwe ACT bara yote waachiwe CDM.
 
Member kwa mjaribio angegombea ubunge ili tuone Kama angetoboa?.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…