hp4510
JF-Expert Member
- Jan 16, 2012
- 7,235
- 7,392
kwani wewe una taarifa gani za vifo???au ndio kigogo kakwambia vifo ni 1400??
Vifo ni 16 tu mpaka Novemba inayokuja
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kwani wewe una taarifa gani za vifo???au ndio kigogo kakwambia vifo ni 1400??
Maendeleo ninayoyaona kayaleta JPM ni kutufanya watanzania tuishi kama Hayawani! Utawala wake unavunja Katiba hakuna kuhoji, vyombo vya habari vime- compromise, Bunge lime- compromise, Mahakimu waliowenge wanafuata maelekezo badala ya taaruma yao na hivyo kuifanya Mahakama kuonekana kama nayo ime- compromise, Viongozi wa Serikali za Mitaa hawakuchaguliwa na Wananchi, kukitokea majanga ya asili Serikali badala ya kuwafariji na kuwasaidia Wananchi inawakejeri, no salary increment, no employment, na wakulima wa Mazao ya biashara wanayauza kwa bei ya hasara. Maendeleo makubwa sana aliyoyafanya JPM ni kuvisababishia mateso makali sana Vyama halisi vya upinzani.Vitu vingine vinatia hasira!! Miiko gani tumejitenga nayo? Kuna chuki Kali sana dhidi ya Tanzania isiyokuwa na sababu!! Kinachowakasirisha zaidi ni kutuona tunadunda na tunaendelea na shughuli zetu!! Walitazamia tufe kwa maelfu na haijawa hivyo!! Inawauma sana!!!
Rais wetu Dr Magufuli mamilioni ya watanzania tunakushukuru sana kwa uongozi wako katika kipindi hiki ambacho vinginevyo tungepita kwenye ugumu sana!! Tukikushukuru watanzania ikutoshe maana hao mabeberu na vibaraka wao hatutegemei kama wanaeeza kukiri uongozi wako imara japo nafsini mwa o wanajua hivyo! Mungu yuko upande wetu ndio maana matazamio yao hayajafanikiwa!!
Matrilioni ya deni la taifa yametoka wapi? Kodi zetu ndiyo zinazo ongeza deni la taifa? Pamoja na mahaba yako kwa namba moja, tumia akili kidogo. Kilangila.Mtumwa wa fikra utamtambua tu!! Hata akiwa na uwezo namna gani bado hawezi kujiamini!! Tunaishi kwa kodi zetu pamoja na kwamba mabeberu wametupora sana!! Wanakasirika sana kuona ofisi namba moja haiingiliki!!
Ukiwa Tanzania tuu utadanganywa sana wafanyabiashara wa Zambia baada ya kuweka VAT kwenye transit goods waliondoka na kuanza kutumia msumbiji na Durban na magari mengi maroli ya Tanzania yaliokua yanabeba huku kwa wateja wao yapo kule hata yule mount meru mtanzania alieshika soko la mafuta Zambia anapokea mafuta Tanzania na Msumbiji...Zambia mizigo mingi wananunua SA na maagent wa SA wapo Zambia tofauti ya baadhi ya bidhaa ya Zambia na SA kwa bei unakuta ni 10,000Tsh kwa caton endeleeni kulishana matango pori Mkongo ndio anatutegemea sisi sio Mzambia ndio maana Zambia wanapata faida kwa kutoza gharama kubwa kwa gari za mizigo zinazopita Zambia...Nimesikilza
Kwa makini mahojiano hayo,yalipangwa na DW na ni bias kabisa
Nasema hivyo kwa sababu eti ni Watanzania tu pekee ndio tutaathirika wakati hata Zambia wataathirika tena pakubwa kuliko sisi watanzania kwa sababu asilimia 70 %ya mizigo ya Zambia inatoka Tanzania
Tusiombe tufike huko, kutengwa na jumuia ya kimataifa na majirani pia
Mkuu nimependa hizi data zako, tafadhali tuwekee na za Tanzania.Hizo jumuia za kimataifa hazina hata muda wa kuhangaika na watu.
Wao wenyewe wanakufa kama sisimizi.
View attachment 1448640
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu nimependa hizi data zako, tafadhali tuwekee na za Tanzania.
Acha upumbav.u wewe, asilimia 70 ya wapi? Umewahi kuyaona malori ya Zambia yanayotoka South Africa?..Hivi unajua Dar Lusaka ni mbali kuliko Lusaka Johburg kwa ubora wa barabara n.k? Uwe una-google mambo mengine.
Sent using Jamii Forums mobile app
Nimesikilza
Kwa makini mahojiano hayo,yalipangwa na DW na ni bias kabisa
Nasema hivyo kwa sababu eti ni Watanzania tu pekee ndio tutaathirika wakati hata Zambia wataathirika tena pakubwa kuliko sisi watanzania kwa sababu asilimia 70 %ya mizigo ya Zambia inatoka Tanzania
Sijakytukana, nimekuuliza swali, hivyo jibu swali.Mtu akikosa hoja utamjua tu!! Siwezi kukulaumu kwa matusi maana ndivyo ulivyolelewa!! Pole!! Matusi hufanya kazi mbili tu: 1. Hufunua moyo wa mtu jinsi ulivyo mchafu. 2. Hufunua namna mtu alivyolelewa toka utotoni!! Pole! maana unaaonyesha kuwa wewe ni mhanga wa malezi mabovu!! Nitakuwa punguwani nikikulaumu!!!
kwamba ukidaiwa na China ndio nini? hivi hata unaelewa unachozungumza?unajua china wanaidai marekani kiasi gan? you just better shut up
kwamba ukidaiwa na China ndio nini? hivi hata unaelewa unachozungumza?
sasa hata kama ndio hivyo huwezi kuiweka kwenye kapu moja na tz, ndio ilikuwa hoja yangu, vitu anavyofanya Trump na matamshi yake dhidi ya China na WHO, Tz haiwezi kuiga simply haina huo ubavu.hata putin alishawahi kusema USA is weak nation protected by technology, sasa hio muscle unaongelea ni ipi, infact haijui ata inalipaje madeni yake zaidi ya kuchapisha tu noti mpya ambayo itatuathiri wengine wote tunaotumia USD as foreign reserve
Hizo bidhaa tunazipitisha ili wakatumie nani kama Zambia hawazitegemei? Na hizo zinazokuja kwetu toka kwao ni kwa faida ya nani kama sio kwa faida yao?Nafikiri Tanzania ndo tunategemea zaidi ule mpaka wa nakonde kupitisha bidhaa kwenda nje na kutoka nje kuja kwetu.
Sent using Jamii Forums mobile app
sasa hata kama ndio hivyo huwezi kuiweka kwenye kapu moja na tz, ndio ilikuwa hoja yangu, vitu anavyofanya Trump na matamshi yake dhidi ya China na WHO, Tz haiwezi kuiga simply haina huo ubavu.
Sijasema unyenyekee, tread carefully, unajua wananchi Korea wanaishi maisha gani?Kwahio we unataka tuwanyenyekee ama? lazima heshima iwepo , kila kitu kifanyike uku tukujua tunafaidi nchi yetu kama hawataki basi kwan Korea waliwezaje kupewa heshima yao na wanaongozwa na dikteta,