Lu-ma-ga
JF-Expert Member
- Sep 21, 2010
- 4,780
- 3,227
Fuatilia matangazo live Magufuli yuko Moshi sasa hivi kabomo kambi yenu, leo Moshi ni KIJANI NA NJANOHIVI NANI ANAMJUA MEMBE?
Kura zetu zielekezwe kwa mwanamapinduzi Lissu na wabunge wake.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Fuatilia matangazo live Magufuli yuko Moshi sasa hivi kabomo kambi yenu, leo Moshi ni KIJANI NA NJANOHIVI NANI ANAMJUA MEMBE?
Kura zetu zielekezwe kwa mwanamapinduzi Lissu na wabunge wake.
Unajuwa sikutaka kukujibu na wakati mwingine unamuelewa mtu kwa maandishi yake tu, kwa bahati nzuri mimi sio mshabiki wa chama cha siasa na bahati nyingine sijawahi kupiga kura kwa sababu siamini kama kura yangu inanguvu yoyote haya ni maoni yangu. Nimeongea uhalisia wewe umenihukumu kiushabiki, ukiona mtu ana panic basi ujuwe hajiamini. kwangu mimi na uhakika sioni chama chochote kitakacho ibadilishe Tz hata wapinzani bado ninachoona watu wanapigania madaraka. ukiniuliza tofauti kubwa ya kisera au vision yao ya Tz baina ya vyama hivi viwili kwa kweli mimi sijui naona mipasho tu na wanaongelea mambo kiujumla jumla tu tunashindana nani kajaza uwanja basi. ndio maana sitopiga kura atakayeshinda ashinde tu wote ni walewale.Leo mnamkana wakati mlishadadia kuja kwake na mlimsifu kuwa yule ni Kachero mbobezi leo mnaanza kumponda. Tulieni sindano iwaingia vizuri, sasa anakwenda kukinukisha mahakama kuu.Mliambiwa mtengeneze assets zenu kwa kukuza vipaji lakini kila kukucha mnasubiri wahamiaji toka ccm. Jinga wapinzani, mwaka huu mnakwenda kushindwa vibayaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
Hao ndio Watanzania bwana! akija TAL wanatia bluu bluu na amekuja JPM wametia njano zao, Tarehe 28 kila mtu ana jambo lake moyoni! Hakuna kujipambanua hadharani usije ukawa sehemu usiyoijuwa!!Fuatilia matangazo live Magufuli yuko Moshi sasa hivi kabomo kambi yenu, leo Moshi ni KIJANI NA NJANO