IDEGENDA
JF-Expert Member
- Sep 15, 2013
- 4,505
- 5,343
Membe akifikiri akifika huku field atakutana na kelele za hawa kina Lord denning pia!Kwa haya mnayayoyasema kuhusu Bernard Membe wala siyashangai na wala simuonei huruma. Tulimuonya mapema ajihadhari na siga alizokuwa anapewa mtandaoni kipindi kile anajaribu kuivuruga CCM. Alivimbishwa kichwa akavimba. Akaaminishwa yeye ndiye, akaamini. Alivyotupwa nje na CCM na akaonekana si lolote sasa yale tuliyomtahadharisha nayo yanaibuka.
Bernard Camilius Membe maisha yakikushinda huko, tubu urudi CCM. CCM haina hasira za kudumu. Lowassa, Sumaye, Sofia Simba na Mama Msambatavangu walirudi CCM tena Msambatavangu leo ni Mgombea wa CCM Iringa Mjini.
Mpaka sasa hivi Membe haamini anachokiona.