Uchaguzi 2020 Bernard Membe tulimjua tangu awali. Hatusumbui, Mabadiliko ni lazima mwaka huu!

Uchaguzi 2020 Bernard Membe tulimjua tangu awali. Hatusumbui, Mabadiliko ni lazima mwaka huu!

Hivi Membe alitumwa na nani agombee urais kupitia ACT?

Yaani Maalim Seif na Zitto Kabwe walijikuta tu wanamsimamisha Membe urais bila kujua alikujaje kwenye chama chao!

Yaani "ugwiji" wao wote kwenye siasa ACT hawakuwahi kufaham "asili" ya Membe?
Ndio maana tumesema tamaa za zitto, walitakiwa wajifunze yaliyotokea 2015 kwa edo, sema sikio la kufa
 
Hawezi fanya kampeni Kwa sababu atagawa kura za CCM, hili ndio hofu yao kubwa kwa tiss na ccm. Wao plan yao ilikuwa ni kwamba cdm na act kwa pamoja wamsimamishe yeye, na kwa jinsi ilivyo inaonekana hii ilikuwa ni plan ya tiss ili wawe na mgombea mbadala baada kuona jiwe hafai na hakubaliki, tatizo ila wamechelewa sana. Huyu jiwe kweli hawakumjua miaka yote, basi huko tiss kuna tatizo kubwa sana.
"Takwimu zao zinaonyesha hakuna dalili yoyote kwa Mgombea wa Chama cha Meko full kupata hata asilimia 40 ya kura. Chama cha Meko full wameshakata tamaa na ushindi. Kwa msingi huo wamepangwa kumtangaza Mgombea wa Chama Cha Meko full usiku wa manane.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyo Membe hata kabla hajafukuzwa CCM nilisema kabisa huyo sio wa kumuamini, na wengi wetu tulisema hata akiondoka CCM asipokelewe CDM, na hata akipokelewa asipewe nafasi yoyote, kwani somo la Lowassa lilikuwa bado bichi. Na kweli kaondoka CCM kwa maelekezo maalum, akaenda ACT ambapo alikuwa analazimisha muungano ili yeye ndio awe mgombea kwa maslahi ya CCM. Nashukuru Mungu alipotezewa..
Lakini kumbuka Zitto hajawahi kuwa CCM na alishawahi kuwa CHADEMA kwa muda mrefu.Labda tuambie ni viashiria gani vinavyosababisha wewe usimuamini Zitto??

Sent from my TECNO WX3 using JamiiForums mobile app
 
Huyo Membe hata kabla hajafukuzwa CCM nilisema kabisa huyo sio wa kumuamini, na wengi wetu tulisema hata akiondoka CCM asipokelewe CDM, na hata akipokelewa asipewe nafasi yoyote, kwani somo la Lowassa lilikuwa bado bichi. Na kweli kaondoka CCM kwa maelekezo maalum, akaenda ACT ambapo alikuwa analazimisha muungano ili yeye ndio awe mgombea kwa maslahi ya CCM. Nashukuru Mungu alipotezewa.

ukweli uko hivi, huko ACT mpinzani wa kweli ni Maalim Seif na wapemba wenzake, hata huyo Zitto ni wa kuwa naye makini, maana hicho chama cha ACT ni cha kina hao Membe, J.K. nk. Tahadhari CDM wawe makini sana na Zitto, maana Membe ndio mwenye ACT na yuko upinzani ili kusoma ramani dhidi ya CDM. Katika mazingira hayo hakuna uwezekano wa kumuamini Zitto.
Hivi wewe tindo bado tu unajifunza mambo ya siasa za TZ? Bado tu hujakomaa? Yaani bado unaamini Maalim Seif ni mpinzani wa kweli na kwamba "atawavusha" wapemba? Unaamini vipi Maalim ni mpinzani wa kweli wakati anafanyia harakati zake kupitia ACT chama ambacho una yakini kuwa ni cha makada wa CCM? Yaani wewe una akili zaidi bali Maalim Seif hajitambui kwa kitendo chake kuwa mwenyekiti na mgombea urais wa ACT ya CCM?
 
Hawezi fanya kampeni Kwa sababu atagawa kura za CCM, hili ndio hofu yao kubwa kwa tiss na ccm. Wao plan yao ilikuwa ni kwamba cdm na act kwa pamoja wamsimamishe yeye, na kwa jinsi ilivyo inaonekana hii ilikuwa ni plan ya tiss ili wawe na mgombea mbadala baada kuona jiwe hafai na hakubaliki, tatizo ila wamechelewa sana. Huyu jiwe kweli hawakumjua miaka yote, basi huko tiss kuna tatizo kubwa sana.
Wamefeli vibaya sana...Chama Cha Matatizo ni halali yetu; tarehe 28/10/2020 lazima ing'oke.

last-kicks.jpg
 
Kwa haya mnayayoyasema kuhusu Bernard Membe wala siyashangai na wala simuonei huruma. Tulimuonya mapema ajihadhari na siga alizokuwa anapewa mtandaoni kipindi kile anajaribu kuivuruga CCM. Alivimbishwa kichwa akavimba. Akaaminishwa yeye ndiye, akaamini. Alivyotupwa nje na CCM na akaonekana si lolote sasa yale tuliyomtahadharisha nayo yanaibuka.

Bernard Camilius Membe maisha yakikushinda huko, tubu urudi CCM. CCM haina hasira za kudumu. Lowassa, Sumaye, Sofia Simba na Mama Msambatavangu walirudi CCM tena Msambatavangu leo ni Mgombea wa CCM Iringa Mjini.
 
Back
Top Bottom