Alwatan Mabruki
Senior Member
- Sep 20, 2020
- 132
- 116
Wapinzania watauza nchi. Tusifanye makosa Oktoba 28. Chagua Magufuli ✅
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sasa tu kama hapa jf umeogopa kutumia jina lako halisi..utaweza kweli kulinda kura wewe?
Lini Chadema walisema Membe anaweza kuitoa CCM madarakani?Hivi Chadema mko serious mna kwama wapi kila chaguzi mnaomba wagombea wengine wawaunge mkono saizi mnataka Membe atoe tamko kuwa anamuunga Mkono Lissu asipotamka mnasema tulimjua kabla wakati kuna wakati mlidai Membe anaweza kuitoa CCM madarakani
Hivi Chadema mko serious mna kwama wapi kila chaguzi mnaomba wagombea wengine wawaunge mkono saizi mnataka Membe atoe tamko kuwa anamuunga Mkono Lissu asipotamka mnasema tulimjua kabla wakati kuna wakati mlidai Membe anaweza kuitoa CCM madarakani
Hata Ccm wafanyaje mwaka huu Mungu na Watanzania tumeshawakataa. Mie Nipo Ruvuma ila nilijiandikisha Dar. Nitasafiri kwenda Dar nikapige kura!!Naona washatuchezea mchezo mchafu wakusema ulipo jiandikisha ndo apoapo ukapigie kura u ni wizi wa asubui
Sa si bora nife
Watu tunasafiri kutafuta ela kama Kiduku lole gafla tunaambiwa turudi inamaana wale ambao awatarudi izo kura zishaibwa mapema ndo maana naona bado bongo muvi hii sasa sijui tuipe jina gani i riwaya
Bora ata umenipa hamasa yani hizi mbivu lazima zisiwe mbichi tena tumechoka mno angalia china daaa nikiwa nasoma uchumi wetu ulikua sawa na china na Singapore ila sa ivi ni vumbi tuu inaonekana kasi yao si ya kitoto yani unaweza uita uchumi husen boltHata Ccm wafanyaje mwaka huu Mungu na Watanzania tumeshawakataa. Mie Nipo Ruvuma ila nilijiandikisha Dar. Nitasafiri kwenda Dar nikapige kura!!
Wajeda hawataki kabisa kumsikiaKila mjeda hapa kambini anasema meko fool must go
Maalim alifukuzwa CCM,alifukuzwa CUF na siku akimletea ubabe Zito kwa jazba zake atafukuzwa ACT.
kwanini walimpitisha BM kuwa mgombea wa ACT ilhali wao wanaimani na Lissu?
walikubaliana kumuunga mkono Lissu kwenye vikao vya chama ama kwa ubabe wake yeye na Zito?
kama kweli walikubaliana kumuunga mkono Lissu kwanini wapinzani wa hii nchi ni wachumia tumbo,bado sana.
Vitambulisho vya machanga unaweza chukulia mkopo Benki 😹HATA MFANYEJE HAKUNA IKULU YA WANANDOA WATOVU WA NIDHAMU NA WAONGO WAONGO DUNIANI KOTE. WAGOMBEA WENU KWA KUTOKUWA NA UADILIFU, CCM ITAWAGALAGAZA ASUBUHI SAANA. OCTOBER 28 INAKIMBIA HARAKA SAANA.
Hawezi fanya kampeni Kwa sababu atagawa kura za CCM, hili ndio hofu yao kubwa kwa tiss na ccm. Wao plan yao ilikuwa ni kwamba cdm na act kwa pamoja wamsimamishe yeye, na kwa jinsi ilivyo inaonekana hii ilikuwa ni plan ya tiss ili wawe na mgombea mbadala baada kuona jiwe hafai na hakubaliki, tatizo ila wamechelewa sana. Huyu jiwe kweli hawakumjua miaka yote, basi huko tiss kuna tatizo kubwa sana.Mission yake imefeli vibaya. Inabidi CCM na vibaraka wao wajue tu kuwa mwaka huu wananchi hatutaki utani. We really mean business
Hivi Membe alitumwa na nani agombee urais kupitia ACT?Jamaa alitumwa tu kuja kukamilisha mission sasa amekuta akili kubwa zinafanya kazi, na nimefurahi kwamba CDM na ACT wanampuuza kwa kiwango cha lami
Mtaisoma namba kuchukua makapiAmani iwe nanyi wadau!
Kwa wapenda mabadiliko wenzangu napenda kuwasalimu kwa furaha sana. Furaha Hii ni kwa sababu Kuu kuwa ile siku yetu muhimu i karibu sana. Tumebakiza siku Saba watanzania tuandike historia kuu, itakayosomwa na kuheshimiwa na vizazi na vizazi...
Membe ni mzalendo,anaipenda Tanzania.Huyo kibaraka amechelewa