Uchaguzi 2020 Bernard Membe tulimjua tangu awali. Hatusumbui, Mabadiliko ni lazima mwaka huu!

Unajuwa sikutaka kukujibu na wakati mwingine unamuelewa mtu kwa maandishi yake tu, kwa bahati nzuri mimi sio mshabiki wa chama cha siasa na bahati nyingine sijawahi kupiga kura kwa sababu siamini kama kura yangu inanguvu yoyote haya ni maoni yangu. Nimeongea uhalisia wewe umenihukumu kiushabiki, ukiona mtu ana panic basi ujuwe hajiamini. kwangu mimi na uhakika sioni chama chochote kitakacho ibadilishe Tz hata wapinzani bado ninachoona watu wanapigania madaraka. ukiniuliza tofauti kubwa ya kisera au vision yao ya Tz baina ya vyama hivi viwili kwa kweli mimi sijui naona mipasho tu na wanaongelea mambo kiujumla jumla tu tunashindana nani kajaza uwanja basi. ndio maana sitopiga kura atakayeshinda ashinde tu wote ni walewale.
 
Fuatilia matangazo live Magufuli yuko Moshi sasa hivi kabomo kambi yenu, leo Moshi ni KIJANI NA NJANO
Hao ndio Watanzania bwana! akija TAL wanatia bluu bluu na amekuja JPM wametia njano zao, Tarehe 28 kila mtu ana jambo lake moyoni! Hakuna kujipambanua hadharani usije ukawa sehemu usiyoijuwa!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…