Salary Slip
Platinum Member
- Apr 3, 2012
- 49,390
- 152,301
Aibu kubwa kwa vibaraka na mabwana zenu, mikaratasi imprint wenyewe, msambaze wenyewe, mjikamate wenyewe na muharibu ushahidi kwa kuuchoma wenyewe, ushaona wapi kielelezo/ushahidi unachomwa moto? mbona hatuwaoni mlowakamata na hayo makaratasi? Pathetic.Hayo madudu dunia nzima imeyaona, Magufuli nitamshangaa sana kama anaamini hapo alipo alishinda kihalali, zamani tulizoea kuona mitihani ina "leak" but this time, and for the very first time, makaratasi ya kupigia kura yenye tiki kwa wagombea wa CCM ngazi zote yalitapakaa nchi nzima mapema kabla hata ya zoezi la upigaji kura halijaanza...
Asante kwa taarifa.View attachment 1616893
Watanzania wenzangu kuna barua inasaambaa kwenye mitandao ya jamii inayodai kwamba mimi nimempongeza Rais kwa ushindi wa Urais.Barua hiyo ni fake na ipuuzeni. Kamwe siwezi kumpongeza kwa uchaguzi wa madudu kama huu. Sana sana nitamwandikia kumwomba ajiuzuru ili uchaguzi urudiwe-Bernard Membe kupitia twitter
Kama unajitia upofu makusudi utaona vipi?!Aibu kubwa kwa vibaraka na mabwana zenu, mikaratasi imprint wenyewe, msambaze wenyewe, mjikamate wenyewe na muharibu ushahidi kwa kuuchoma wenyewe, ushaona wapi kielelezo/ushahidi unachomwa moto? mbona hatuwaoni mlowakamata na hayo makaratasi? Pathetic...
Sent from my itel it1556 Plus using JamiiForums mobile app
Hivi nikikamata mwizi tuseme kaniibia redio,na polisi wakafika wakamdhibiti,Aibu kubwa kwa vibaraka na mabwana zenu, mikaratasi imprint wenyewe, msambaze wenyewe, mjikamate wenyewe na muharibu ushahidi kwa kuuchoma wenyewe, ushaona wapi kielelezo/ushahidi unachomwa moto? mbona hatuwaoni mlowakamata na hayo makaratasi? Pathetic...
Sent from my itel it1556 Plus using JamiiForums mobile appisaidieni jamani,mimi nataka kujifunza
Magu ni wa kupingwa na kila mtu maana hafai hata kidogo.Utaona bavicha wakimpongeza Membe kwa ujasiri
[emoji23][emoji23][emoji23]
Lol kuna binadamu wapumbavu lakini wewe ni kiboko yao! Yaani bado unaamini uchaguzi (kwa maana ya uchaguzi) ulifanyika na magu alishinda? Pole sana!Wewe jamaa unafurahishaga sana, huwa hukati tamaa na harakati zako za mbio za sakafuni. Usikute ndio umeanza safari nyingine tena ya kuzungukia tweets za wanasiasa kuzileta JF hadi 2025. Zamu hii hadi 2025 utakuwa hujaokota makopo kweli!?, Kwa kipigo kilichowakuta niliamini mtapunguza upashkuna wa mitandaoni. Ila mna moyo aisee.
Najaribu kuwaza uhalali wa hii Tume kuendelea kuwepo. Hii tume ilipaswa kuvunjwa kwa kuruhusu karatasi zake kuvuja.Mpaka mwenzao kawasusa, na hayo madudu dunia nzima imeyaona, Magufuli nitamshangaa sana kama anaamini hapo alipo alishinda kihalali, zamani tulizoea kuona mitihani ina "leak" but this time, and for the very first time, makaratasi ya kupigia kura yenye tiki kwa wagombea wa CCM ngazi zote yalitapakaa nchi nzima mapema kabla hata ya zoezi la upigaji kura halijaanza.
Hii ni aibu kubwa sana kwa nchi yetu, na itaharibu sana taswira yetu kwa mataifa ya nje, kununua ndege nyingi hata siku moja hakuwezi kuwa sababu ya kuharibu demokrasia; now tupo kundi moja na nchi zinazotawaliwa kibabe kama Uganda na Rwanda, we need to fight to save our country from this mess.
Polisi wetu ni sehemu ya huu udhalimu. Jacob aliegombea Ubunge Ubungo kupitia CDM anasema alifanikiwa kumkamata jamaa akiwa na kura kibao tu na kumpeleka Polisi lakini kule alijibiwa kua wao Polisi hawahusiki na issues za kura, ni mambo ya tume, so Jamaa akaachiwa.Hivi nikikamata mwizi tuseme kaniibia redio,na polisi wakafika wakamdhibiti,
ipi ni sahihi kati ya hizi njia za kutunza hiyo redio kama kithibitisho
1. Mimi kuchukua redio kwenda kuitunza au polisi ndo wanaotunza hicho kifaa?
2. Naamini kukutwa na kura feki kwenye eneo la kupigia kura ni kosa la jinai, sasa je ni nani alitakiwa kushughulika na huyo mhalifu ni raia waliokuwepo eneo la tukio au ni polisi?
Mwenyekujua anisaidie ili huko mbeleni nisijekosea asanteni
Alivyo kenge anadhani ushahidi umechomwa wote.Kama unajitia upofu makusudi utaona vipi?!
Mpaka askari wamewasaidia kuyaficha makaratasi kwenye vituo vyao, ulitaka wakamatwe polisi?!
Najua huu ukweli unakuumiza kwa mahaba yako ya kijani ila vumilia tu, acha ujinga kidogo uwe huru.