citizensindevelopment18
JF-Expert Member
- Apr 1, 2020
- 1,636
- 830
Membe kura zako za huruma zatosha
Watanzania wenzangu kuna barua inasaambaa kwenye mitandao ya jamii inayodai kwamba mimi nimempongeza Rais kwa ushindi wa Urais.Barua hiyo ni fake na ipuuzeni. Kamwe siwezi kumpongeza kwa uchaguzi wa madudu kama huu. Sana sana nitamwandikia kumwomba ajiuzuru ili uchaguzi urudiwe-Bernard Membe kupitia twitter