Uchaguzi 2020 Bernard Membe: Uchaguzi huu ulikuwa wa madudu

Huyu jamaa kawapiga Chadema goli dakika ya 89

Watanzania wenzangu kuna barua inasaambaa kwenye mitandao ya jamii inayodai kwamba mimi nimempongeza Rais kwa ushindi wa Urais.Barua hiyo ni fake na ipuuzeni.

Kamwe siwezi kumpongeza kwa uchaguzi wa madudu kama huu. Sana sana nitamwandikia kumwomba ajiuzuru ili uchaguzi urudiwe-Bernard Membe kupitia twitter
 
Membe alisema anaenda kupiga bao la ushindi dakika ya 89, imekuaje tena
 
Kwanini Zitto na Maalimu Seif ‘wanamtenga’ mwenzao huyu kwenye press na matamko yao yote?
 
Watanzania wenzangu kuna barua inasaambaa kwenye mitandao ya jamii inayodai kwamba mimi nimempongeza Rais kwa ushindi wa Urais.Barua hiyo ni fake na ipuuzeni.

Kamwe siwezi kumpongeza kwa uchaguzi wa madudu kama huu. Sana sana nitamwandikia kumwomba ajiuzuru ili uchaguzi urudiwe-Bernard Membe kupitia twitter

Maneno kama haya ni mwiba kwa wale makoboko ambao wizi ni fani yao.

Hapo watakuwa wamefura kwa hasira.
 
Mpaka mwenzao kawasusa, na hayo madudu dunia nzima imeyaona, Magufuli nitamshangaa sana kama anaamini hapo alipo alishinda kihalali, zamani tulizoea kuona mitihani ina "leak" but this time, and for the very first time, makaratasi ya kupigia kura yenye tiki kwa wagombea wa CCM ngazi zote yalitapakaa nchi nzima mapema kabla hata ya zoezi la upigaji kura halijaanza.

Hii ni aibu kubwa sana kwa nchi yetu, na itaharibu sana taswira yetu kwa mataifa ya nje, kununua ndege nyingi hata siku moja hakuwezi kuwa sababu ya kuharibu demokrasia; now tupo kundi moja na nchi zinazotawaliwa kibabe kama Uganda na Rwanda, we need to fight to save our country from this mess.
Chadema bwana, uchaguzi umeisha. Vipi mipango ya rodi kesho?
 
Labda kitu usichokijua NI kuwa.
Kura feki sio zile zilizochomwa Moto peke yake.ZINGINE ZILIKAMATWA KWENYE MALORI.
Lakini Mimi pia bado Nina swali kwanini NEC wakatae kuwa HAKUNA KURA FEKI?View attachment 1616941
Mkuu,
Wakikubali kua kura "Zilivuja" basi wao ndio suspect wa Kwanza. So solution ni kukomaa tu kua hakuna kura feki, hata kama Kuna ushahidi wa videos
 
Mnaponzwa na kauli zenu! Yaani tayari watanzania mnatuita madudu!? Na bado mnataka tuwasikilize!? Aisee hekima na busara iwatafute, popote mlipo vinginevyo mtasahau kuchana nywele muda si mrefu.
 
Maneno kama haya ni mwiba kwa wale makoboko ambao wizi ni fani yao.

Hapo watakuwa wamefura kwa hasira.
No one cares. Leo cheti cha ushindi, 3 na 5 kuapishwa.

Nyie rodi hadi?
 
Wameanza kuogopa hawa jamaa na inawezekana baadae wakatoa details za watu. Sasa inabidi tubakie jukwaa la mapenzi na mahusiano.
INAKUAJE THREADS ZINAHUSU UCHAGUZI WANAZICHUJA SANAAA NA MWISHO WAKE HAWAZIPOST. KWA IYO SAIVI JAMII FORUM IMEKUWA PRAISE FORUM NAYO.
hilo kwa Tanzania ya sasa linawezekana
 
Watanzania wenzangu kuna barua inasaambaa kwenye mitandao ya jamii inayodai kwamba mimi nimempongeza Rais kwa ushindi wa Urais.Barua hiyo ni fake na ipuuzeni.

Kamwe siwezi kumpongeza kwa uchaguzi wa madudu kama huu. Sana sana nitamwandikia kumwomba ajiuzuru ili uchaguzi urudiwe-Bernard Membe kupitia twitter
Mzee wa gusa unuke, dk ya 89 super sub
 
Najua sanaa. hapo nawatega tu wajichanganye[emoji16][emoji16].
Makaratasi ya KURA yaliibiwa wajibane wenyewe.
NEC wajanja wanajua wakisema" NDIO KURA FEKI ZIPO".
WATU WATAHOJI ZIMETOKA WAPI.
Bora wakaze hivyo hivyo Ila ukweli tunaujua.
Mkuu,
Wakikubali kua kura "Zilivuja" basi wao ndio suspect wa Kwanza. So solution ni kukomaa tu kua hakuna kura feki, hata kama Kuna ushahidi wa videos
 
Mbona
Mpaka mwenzao kawasusa, na hayo madudu dunia nzima imeyaona, Magufuli nitamshangaa sana kama anaamini hapo alipo alishinda kihalali, zamani tulizoea kuona mitihani ina "leak" but this time, and for the very first time, makaratasi ya kupigia kura yenye tiki kwa wagombea wa CCM ngazi zote yalitapakaa nchi nzima mapema kabla hata ya zoezi la upigaji kura halijaanza.

Hii ni aibu kubwa sana kwa nchi yetu, na itaharibu sana taswira yetu kwa mataifa ya nje, kununua ndege nyingi hata siku moja hakuwezi kuwa sababu ya kuharibu demokrasia; now tupo kundi moja na nchi zinazotawaliwa kibabe kama Uganda na Rwanda, we need to fight to save our country from this mess.
Eti mataifa ya nje yatatuonaje?,,braza bado tu hujaamka ,,leo hii unaona aibu wazungu watakuonaje?
 
Hawa majitu sjui yakoje,
Yaani nina rafiki yangu mwalimu anasema walikua wanashirikiana na polisi kuiba kura kumpa jpm na wabunge wa ccm
Kama unajitia upofu makusudi utaona vipi?!

Mpaka askari wamewasaidia kuyaficha makaratasi kwenye vituo vyao, ulitaka wakamatwe polisi?!

Najua huu ukweli unakuumiza kwa mahaba yako ya kijani ila vumilia tu, acha ujinga kidogo uwe huru.
 
No one cares. Leo cheti cha ushindi, 3 na 5 kuapishwa.

Nyie rodi hadi?

"Who are the eveyone who that do not care that you are talking about?

Ni elimu au ni umbumbu tu?

Please note: the Lb7s, the Tagas, CCMs, the unidentified individuals, etc aren't at all everybody in this nation!
 
Back
Top Bottom