Uchaguzi 2020 Bernard Membe: Uchaguzi huu ulikuwa wa madudu

Membe kura zako za huruma zatosha
 
Kama unajitia upofu makusudi utaona vipi?!

Mpaka askari wamewasaidia kuyaficha makaratasi kwenye vituo vyao, ulitaka wakamatwe polisi?!

Najua huu ukweli unakuumiza kwa mahaba yako ya kijani ila vumilia tu, acha ujinga kidogo uwe huru.
Nani awe huru?wewe unaebwabwaja ndiyo hauko huru
 
Bora membe umesema..
Hata kikwete hajapata AIBU KAMA HII.
Chadema wa kupata wabunge chini ya viti 10?.
Ahaaaaaaaaa[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16].
Jamani Hadi pembaaa
 
Labda kitu usichokijua NI kuwa.
Kura feki sio zile zilizochomwa Moto peke yake.ZINGINE ZILIKAMATWA KWENYE MALORI.
Lakini Mimi pia bado Nina swali kwanini NEC wakatae kuwa HAKUNA KURA FEKI?
 
Hata wewe ulitakiwa umpongeze membe.
Maana uchafu uliofanywa na NEC na magufuli mwaka huu NI wa kiwango Cha MWISHO.
Utaona bavicha wakimpongeza Membe kwa ujasiri
[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Jasusi mbobezi hajatosheka tu na jinsi alivyowapoteza wapinzani, anataka awasbaratishe kabisa....anawavutaaaaaa kisha anang'ata...
 
Wagumu sana kuelewaa hawaaa
 
Hata mimi mkuu, nikiweka thread zangu zote hazikubaliwi kabisa hasa kwenye jukwaa la habari na hoja na jukwaa la siasa. Mimi mwenyewe napata mashaka sasa.
Wameanza kuogopa hawa jamaa na inawezekana baadae wakatoa details za watu. Sasa inabidi tubakie jukwaa la mapenzi na mahusiano.
INAKUAJE THREADS ZINAHUSU UCHAGUZI WANAZICHUJA SANAAA NA MWISHO WAKE HAWAZIPOST. KWA IYO SAIVI JAMII FORUM IMEKUWA PRAISE FORUM NAYO.
 
Tunakushangaa hujakuwepo kwenye mkutano wa viongozi wa vyama kutoa tamko la kuhamasisha maandamano nchi nzima kama mgombea rais. Au mwenzetu unaandama kivyako!
 

This person is just joking, you never participated in any form of campaign, not all Tanzanians are fools au wapo kwenye usingizi wa pono! Tulikuwa tunangoja mpira wako uanze dakika ya 89[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]ndo uingie ikulu ya Dsm(siyo ya Dodoma) na kuanza kutumia kalamu ya wino mwekundu(according to your announcement through social media)![emoji38][emoji38]
 
Kwa kweli..katika watu walioumia na kusaga meno kwenye uchaguzi huu huyu namba moja,sijui aliahidiwa nini.
 

Kwani wao ni polisi was kukamata wahalifu, na hao polisi waliokuwa kila kituo mbona hawakuwakamata hao wenye mabeg yenye kura fake kama zilikuwa za wapinzani ningeingizwaje kwenye masanduku yanayolindwa na polisi. Hoja yako inaonesha ulivyo mjinga wa kiwango cha juu. Kuprint karatasi ya kura ni kosa la jinai hivi ni nani hadi sasa amekamatwa na hao polisi kama zilikuwa printed na wapinzani. Aibu tupu hadi mnasema ni fake. Mlipoamua kuprint pale jamana ndo ulikuwa mpango wa wizi mbwa nyie
 
Kuna malipo ya uovu. Hatuwezi kufanikiwa kama Taifa kama kuna uovu mahali .Bahati Mbaya sana hawa watu huwa wanajifanya wapiga dua wazuri. Ni wazugaji SAANA.
 
Mbona mwandiko sio wa Kachero mbobezi?
 
alichokifanya kachero membe sidhani kama wapinzani watarudia kuwashobokea ccm
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…