Wakudadavuwa
JF-Expert Member
- Feb 17, 2016
- 17,506
- 16,003
Watanzania wenzangu kuna barua inasaambaa kwenye mitandao ya jamii inayodai kwamba mimi nimempongeza Rais kwa ushindi wa Urais.Barua hiyo ni fake na ipuuzeni.
Kamwe siwezi kumpongeza kwa uchaguzi wa madudu kama huu. Sana sana nitamwandikia kumwomba ajiuzuru ili uchaguzi urudiwe-Bernard Membe kupitia twitter
Kusema ni bora anyamaze si kitisho.Acha vitisho. Kila mtu ana haki
Watanzania wenzangu kuna barua inasaambaa kwenye mitandao ya jamii inayodai kwamba mimi nimempongeza Rais kwa ushindi wa Urais.Barua hiyo ni fake na ipuuzeni.
Kamwe siwezi kumpongeza kwa uchaguzi wa madudu kama huu. Sana sana nitamwandikia kumwomba ajiuzuru ili uchaguzi urudiwe-Bernard Membe kupitia twitter
Chadema bwana, uchaguzi umeisha. Vipi mipango ya rodi kesho?Mpaka mwenzao kawasusa, na hayo madudu dunia nzima imeyaona, Magufuli nitamshangaa sana kama anaamini hapo alipo alishinda kihalali, zamani tulizoea kuona mitihani ina "leak" but this time, and for the very first time, makaratasi ya kupigia kura yenye tiki kwa wagombea wa CCM ngazi zote yalitapakaa nchi nzima mapema kabla hata ya zoezi la upigaji kura halijaanza.
Hii ni aibu kubwa sana kwa nchi yetu, na itaharibu sana taswira yetu kwa mataifa ya nje, kununua ndege nyingi hata siku moja hakuwezi kuwa sababu ya kuharibu demokrasia; now tupo kundi moja na nchi zinazotawaliwa kibabe kama Uganda na Rwanda, we need to fight to save our country from this mess.
He is confused like bob Amsterdam and his client.Dakika ya 89 bado haijafika?
Mkuu,Labda kitu usichokijua NI kuwa.
Kura feki sio zile zilizochomwa Moto peke yake.ZINGINE ZILIKAMATWA KWENYE MALORI.
Lakini Mimi pia bado Nina swali kwanini NEC wakatae kuwa HAKUNA KURA FEKI?View attachment 1616941
No one cares. Leo cheti cha ushindi, 3 na 5 kuapishwa.Maneno kama haya ni mwiba kwa wale makoboko ambao wizi ni fani yao.
Hapo watakuwa wamefura kwa hasira.
Acha upumbavuHe better just shut up.
hilo kwa Tanzania ya sasa linawezekanaWameanza kuogopa hawa jamaa na inawezekana baadae wakatoa details za watu. Sasa inabidi tubakie jukwaa la mapenzi na mahusiano.
INAKUAJE THREADS ZINAHUSU UCHAGUZI WANAZICHUJA SANAAA NA MWISHO WAKE HAWAZIPOST. KWA IYO SAIVI JAMII FORUM IMEKUWA PRAISE FORUM NAYO.
Mzee wa gusa unuke, dk ya 89 super sub
Watanzania wenzangu kuna barua inasaambaa kwenye mitandao ya jamii inayodai kwamba mimi nimempongeza Rais kwa ushindi wa Urais.Barua hiyo ni fake na ipuuzeni.
Kamwe siwezi kumpongeza kwa uchaguzi wa madudu kama huu. Sana sana nitamwandikia kumwomba ajiuzuru ili uchaguzi urudiwe-Bernard Membe kupitia twitter
Mkuu,
Wakikubali kua kura "Zilivuja" basi wao ndio suspect wa Kwanza. So solution ni kukomaa tu kua hakuna kura feki, hata kama Kuna ushahidi wa videos
Eti mataifa ya nje yatatuonaje?,,braza bado tu hujaamka ,,leo hii unaona aibu wazungu watakuonaje?Mpaka mwenzao kawasusa, na hayo madudu dunia nzima imeyaona, Magufuli nitamshangaa sana kama anaamini hapo alipo alishinda kihalali, zamani tulizoea kuona mitihani ina "leak" but this time, and for the very first time, makaratasi ya kupigia kura yenye tiki kwa wagombea wa CCM ngazi zote yalitapakaa nchi nzima mapema kabla hata ya zoezi la upigaji kura halijaanza.
Hii ni aibu kubwa sana kwa nchi yetu, na itaharibu sana taswira yetu kwa mataifa ya nje, kununua ndege nyingi hata siku moja hakuwezi kuwa sababu ya kuharibu demokrasia; now tupo kundi moja na nchi zinazotawaliwa kibabe kama Uganda na Rwanda, we need to fight to save our country from this mess.
Hiyo dakika ya 89 akajifungia ile sehemu salama.Mzee wa dakika ya 89.....tumesubili hio dakika ya 89 lakini wapi
Kama unajitia upofu makusudi utaona vipi?!
Mpaka askari wamewasaidia kuyaficha makaratasi kwenye vituo vyao, ulitaka wakamatwe polisi?!
Najua huu ukweli unakuumiza kwa mahaba yako ya kijani ila vumilia tu, acha ujinga kidogo uwe huru.
No one cares. Leo cheti cha ushindi, 3 na 5 kuapishwa.
Nyie rodi hadi?