Bernard Membe ukiacha kuchukua stahiki yako kama Mahakama ilivyoagiza, wewe sio rafiki wa Watanzania!

Bernard Membe ukiacha kuchukua stahiki yako kama Mahakama ilivyoagiza, wewe sio rafiki wa Watanzania!

fazili

JF-Expert Member
Joined
Jun 10, 2011
Posts
16,427
Reaction score
22,418
Ni haki yako! Ulitukanwa sana na ukadhalilishwa mno! Tafadhali timiza hukumu halali ya Mahakama na chukua fidia dhidi ya udhalimu uliotendewa na Cyprian Musiba.

Kumbuka kuwa sio wewe peke yako ulidhalilishwa na Musiba, wewe ni muwakilishi tu, tupo wengi tulioshindwa kwenda mahakamani kumshtaki huyu bwana.

Wewe mheshimiwa Membe ni mwakilishi wetu katika kudai haki zetu na kutoa fundisho la kudumu kwa dhalimu Musiba hivyo usipotoa fundisho hilo hatutakuamini tena kamwe na wewe sio rafiki wa watanzania tena!
 
Mzee Membe na nduguze walinyanyasika sana.
 
Back
Top Bottom