Chakula Kibaya
JF-Expert Member
- Sep 19, 2022
- 689
- 1,562
Aaaah dj mamie na mamy baby huwa wananichanganyaMamiebaby ni Dj toka Lini?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Aaaah dj mamie na mamy baby huwa wananichanganyaMamiebaby ni Dj toka Lini?
Ule uchale ambao aliouleta Ikulu asingebaki salama kwake.Dharau kwa Rais wa nchi sio jambo la kuvumilika.
Kesho mtamkuta Azam anakula maandazi na chapatu za bureBora hata ametemwa. ilifikia mahala akajiona ni Bora na mkubwa zaidi kuliko vilabu viwili hivi vya Simba na yanga. Let him go! na kila la kheri kwake kwenye kusaka changamoto mpya sehemu nyingine
Viongozi wa Yanga wako makini sana. Katika hili, nawaunga mkono. Hii toto tundu huwa halitabiriki.Bernard Morrison aachwa Rasmi na Yanga SC.
Kama klabu imethubutu mazima kuachana na huyu mwamba basi nina uhakika kuna kitu kinapikwa jikoni.
Nafahamu kuwa alikuwa option ya muda mfupi katika msimu huu, licha ya kuwa alikosea kwa kukubali pesa iliyotia najisi katika kipaji chake hata kushuka uwezo na kipaji kupungua.
Nafahamu kama angebaki njia kuu basi angefanikiwa kulinda uwezo wake na kupata fursa ya kusalia klabuni.
Asanteni kwa uthubutu viongozi wetu.
View attachment 2664735
Sahihi. Na nahisi hilo limechangia sana kuachwaDharau kwa Rais wa nchi sio jambo la kuvumilika.
Sinyorita yupo clouds fm
dogoSawa