Bernard Morrison aachwa rasmi na Yanga SC

We gongowazi unataka kusema unamfahamu BM kuliko vilabu vyote anavyopita na hakudumu kwa utukutu wake, We ni nani kwake?
 
Kwenye mpira nidhamu ndio kitu cha kwanza, Saidoo alifukuzwa Yanga kwa sababu ya nidhamu.

Halafu mkumbuke kuachwa mchezaji kunaanzia kwenye report ya kocha baada ya kumaliza msimu.

Profesa Nabi ameshakabidhi report yake, uongozi unachofanya ni kuifanyia kazi report kwa hizi Thank you.
 
Viongozi wa Yanga wako makini sana. Katika hili, nawaunga mkono. Hii toto tundu huwa halitabiriki.
 
Mashabiki wa bongo mna shida sana.mnaongea utafikiri morison angekaa yanga milele.Wachezaji wanakuja na kupita.kwahiyo hakuna cha ajabu.Na inawezekana akaenda timu bora zaidi kuliko yanga wakati uku mnamwona hafai.Tubaki kwenye ushabiki bila kuingilia maisha binafsi ya mtu kwasababu ya kesho hatuyajui.
 
Ila kipaji hakifichiki, usishangae katikati ya msimu akajoin simba ama hata yanga wenyewe. Unamkumbuka Emmanuel Okwi alivyoitesa simba na kipaji chake?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…