GENTAMYCINE nikisema huwa namaanisha na nina uhakika Mkuu. Ni kweli nilishasema Siku moja hapa hapa JamiiForums kuwa Bernard Morrison ni 'Psychopath Case', ila nikaonekana Kituko au Zuzu fulani hata hivyo namshukuru Mwenyezi Mungu kuwa kile nilichokiona na Kikapuuzwa leo kinaonekana kwa wale waliokuwa wakinipuuza.
Asante sana Mungu kwa Tunu uliyonipa.
Kwa hiyo unasema Manara alikimbia machizi kule?Ndio maana manara alikimbia kule hakuna mwenye akiri timamu
Kaka yangu [mention]NAWATAFUNA [/mention] njoo huku[emoji16][emoji16][emoji16]
huyu na Kabwili kazi yao moja ila tu Kabwili ndo yamemkutaHivi mambo aliyofanya kabwili hadi picha zikavuja na alivyopost morison yupi anatakiwa apimwe akili
Shida ni nguo ya kuogelea kuzama matakoni kijana mdogo wa kiume nadhani hapo ndipo tatizo lilipoanzia!Yaani mtu yupo baharini anakula zake maisha halafu umkataze eti asipige picha wala kupost kuna ubaya gani hapo
Sio kwa mwendo huuhapo ni beach lakini,au mlitaka avae suti
Kwisha Habari yake!Sio kwa mwendo huuView attachment 2074462
Huna akiliView attachment 2073928
Hawa pia wakamatwe 🤣🤣
aisee GENTAMYCINE akikutana na Morrison anaweza kumchapa makofi.
🤣🤣🤣🤣🤣