KAGAMEE
JF-Expert Member
- Dec 20, 2013
- 4,457
- 5,454
Wanakuchukulia poa mkuu🤣🤣🤣🤣🤣
GENTAMYCINE nikisema huwa namaanisha na nina uhakika Mkuu. Ni kweli nilishasema Siku moja hapa hapa JamiiForums kuwa Bernard Morrison ni 'Psychopath Case', ila nikaonekana Kituko au Zuzu fulani hata hivyo namshukuru Mwenyezi Mungu kuwa kile nilichokiona na Kikapuuzwa leo kinaonekana kwa wale waliokuwa wakinipuuza.
Asante sana Mungu kwa Tunu uliyonipa.