Bernard Morrison apimwe akili na utimamu

Bernard Morrison apimwe akili na utimamu

Wanakuchukulia poa mkuu🤣🤣🤣🤣🤣
GENTAMYCINE nikisema huwa namaanisha na nina uhakika Mkuu. Ni kweli nilishasema Siku moja hapa hapa JamiiForums kuwa Bernard Morrison ni 'Psychopath Case', ila nikaonekana Kituko au Zuzu fulani hata hivyo namshukuru Mwenyezi Mungu kuwa kile nilichokiona na Kikapuuzwa leo kinaonekana kwa wale waliokuwa wakinipuuza.

Asante sana Mungu kwa Tunu uliyonipa.
 
Hivi mambo aliyofanya kabwili hadi picha zikavuja na alivyopost morison yupi anatakiwa apimwe akili
huyu na Kabwili kazi yao moja ila tu Kabwili ndo yamemkuta
Screenshot_20220109-100803-2.jpg
 
Yaani mtu yupo baharini anakula zake maisha halafu umkataze eti asipige picha wala kupost kuna ubaya gani hapo
Shida ni nguo ya kuogelea kuzama matakoni kijana mdogo wa kiume nadhani hapo ndipo tatizo lilipoanzia!
 
Aanze kupimwa manara kwanza akili maana mtu aliyetimamu hawezi kuwa vile.
 
Back
Top Bottom