Bernard Morrison apimwe akili na utimamu

Bernard Morrison apimwe akili na utimamu

Huyo jamaa ni very mature ukimsikiliza anyoongea akiwa hajaweka utani, kikubwa binadamu huwezi kuwa serious kila muda. Kuna nyakati za uchizi kidogo, hii ni kwa kila mmoja tusidanganyane tupo serious kila mahali. Morisson naye ni kama sisi tu, ana nyakati za kujitoa akili
 
Uyo mpaka siku akimfata babra na magoli ofisini kwao akiwa uchi ndo watajua kuwa ni mwezi mchanga, Kama alivua nguo akabaki na chupi mbele ya mgeni rasmi kighoma na viongozi wake wakamkenulia meno tu bila kumfanya chochote unafikiri anaofia nini, acha wamlee atakuja kuwadhalilisha kwa matukio zaidi ya ayo
Sasa kama chizi kawapiga yanga na wanasheria wao yupi anakua chizi zaidi?
 
Kuna ustaa pia kuna maisha binafsi yanayo mpa mtu furaha yani kufanya unachokipenda.. Sasa usichanganye mambo
Anachofanya Morison wengi wanakifanya isipokua wao sio maarufu inaonekana normal lakini utambue kila mtu anafanya kile kinachompa furaha.
 
Kuna mwanaSimba ashawahi kuandika juu ya huyu kijana naona wengine hawastuki GENTAMYCINE
GENTAMYCINE nikisema huwa namaanisha na nina uhakika Mkuu. Ni kweli nilishasema Siku moja hapa hapa JamiiForums kuwa Bernard Morrison ni 'Psychopath Case', ila nikaonekana Kituko au Zuzu fulani hata hivyo namshukuru Mwenyezi Mungu kuwa kile nilichokiona na Kikapuuzwa leo kinaonekana kwa wale waliokuwa wakinipuuza.

Asante sana Mungu kwa Tunu uliyonipa.
 
Inasemekana kuna connection yke anapigwa[emoji533] na jamaa flan pale msimbaz
Screenshot_20220109-100803-2.jpg
 
Back
Top Bottom