Bernard Morrison atupa kijembe kwa uongozi wa Simba SC

Bernard Morrison atupa kijembe kwa uongozi wa Simba SC

Lakini ndio tujifunze kuwa kwenye maisha roho mbaya huwa hailipi. Simba wangempa Morison tu hiyo barua kiroho safi kama walivyomuacha kiroho safi leo wangejijengea heshima hata kwa wachezaji wengine. Lakini walichokifanya kwa kweli hata baadhi ya wachezaji watajiuliza mara mbili kabla ya kusaini huko Simba. Ifike mahali Simba wajitambue kuwa wao ni klabu sana Afrika kwa hiyo waache uswahili uswahili. Sasa hivi hata vyombo vya habari vikubwa tu ukipita mitandaoni namna vinavyoandika habari za Simba ni kwa uzito fulani lakini Simba wenyewe wala hata hawajitambui kuwa wana hadhi gani kwenye soka la Afrika kwa sasa.
Kina la KOLO.....linasadifu
 
Nilicho observe pale mpaka wao kuingia kibabe, ilikuwa ufahamu finyu wa lugha kwa wenzetu!
Sidhani kama lugha ni kiini cha hao jamaa kuingia kwa nguvu.
Huo ni uzembe tu wa hao walinzi.
Tatizo kubwa la watz ni kujiona wanyonge mbele ya wageni (inferiority complex) hata kama anajua kiingereza.
 
Baada ya sakata la release letter kupamba Moto ambapo inadaiwa Morrison aliomba apewe barua ya kuwa huru then uongozi wa Simba uligoma na kutaka club inayomtaka ndio iende ili wapate chochote Kitu ( umaskini).

Jana Morrison amepost kijembe kwenye ukurasa wa Instagram na kumtag @harmonize tz kuandika Kama hivi:

"Sasa nitaimba kwenye club kwa pesa kutoka wiki hii [emoji1751] sitahitaji barua kuimba [emoji23] au @harmonize tz unasemaje?"

Huyu ni Morrison mzee wa kukela

Halali south afrika walimpiga kiberiti huyu
 
Lakini ndio tujifunze kuwa kwenye maisha roho mbaya huwa hailipi. Simba wangempa Morison tu hiyo barua kiroho safi kama walivyomuacha kiroho safi leo wangejijengea heshima hata kwa wachezaji wengine. Lakini walichokifanya kwa kweli hata baadhi ya wachezaji watajiuliza mara mbili kabla ya kusaini huko Simba. Ifike mahali Simba wajitambue kuwa wao ni klabu sana Afrika kwa hiyo waache uswahili uswahili. Sasa hivi hata vyombo vya habari vikubwa tu ukipita mitandaoni namna vinavyoandika habari za Simba ni kwa uzito fulani lakini Simba wenyewe wala hata hawajitambui kuwa wana hadhi gani kwenye soka la Afrika kwa sasa.
Kama karudi Yanga waliofoji mkataba wake na wakapelekana hadi CAS na bado kuna wachezaji wanasaini Yanga sembuse hii ambayo hata yeye anajua kwamba ilikuwa nikutaka kuwaingiza simba mkenge ili wamlipe kwa kuvunjiwa mkataba ndiyo ifanye wachezaji wenye akili wakatae kusaini simba?
 
Manara ameajiriwa na GSM ....Bumbuli ameajiriwa na Yanga
Tazama press tano za mwisho za Yanga (usajili wa wachezaji, Nani Zaidi, usajili kidigitali wa washabiki, uzinduzi wa wimbo wa ubingwa), halafu uangalie kama utamuona Bumbuli au Manara
 
Leo nimeumia sana pale Uwanja wa Taifa.

Nimeamini Lugha(English) ni tatizo kubwa kwetu Watanzania! Kuna wanaijeria walifika pale, mlango wa kuwasikl (Arrival) wakitaka kuingia ndani!

Wale jamaa wakafosi kuingia kupitia mlango ule bila kukaguliwa, sasa kwakuwa wao wanajua English, na pale wenzangu (walinzi hawajui) lugha, ikawa lugha gongana!

Jamaa wakawa wanatukana tena kwa ubabe, mwisho wa siku wakaingia bila kukaguliwa!

Nilicho observe pale mpaka wao kuingia kibabe, ilikuwa ufahamu finyu wa lugha kwa wenzetu!

Hakika watanzania itatuchukua muda mrefu sana katika soko la ushindani kimataifa, na tatizo kuu ikiwa ni Lugha.

Morison, anacheza na akiki ya hizi timu sababu kuu ni exposure aliyonayo!
Uwanja wa taifa ? Taifa gani?
 
Huyu jamaa nidhamu yake ni mbovu ila ndani ya uwanja ana IQ kubwa ya kuusoma mchezo na kuamua mechi.
 
Kwahiyo mlitaka simba ndio ivunje mkataba wake na morrison?Kwanini asivunje yeye anayetaka kutoka kabla ya mkataba?Aendelee kutumikia mkataba wake mpaka mwisho.
 
Morrison anajua kutafuta hela, yani anatumia akili ndefu kuishi na mawenge ya sisi watanzania tulio na upungufu wa vipaji vya soka.

Ghana hawezi kuleta udwanzi wa dzain hivyo maana kumesheheni vipaji vya kutosha. Wachache watamwona mwehu ila anajua kucheza na mindset za wabongo
Huku ni kujifariji tu.
Kiwango cha Morrison hata kwao ni wachache mno wanaweza kuwa nacho.
Tukubali Simba kuna shida kwenye menejimenti
 
Ni Tanzania pekee ndiyo kuna huu ujinga, pamoja na giesiemu kuisaidia timu,ila kuna upuuzi wanafanya si sawa na ni dharau kubwa Kwa mashabiki na Brand ya Yanga
 
Tatizo hamsikilizi habari mnaleta ushabiki tu morison analipwa mshahara na simba kama anataka kwenda yanga arudishe hela alizo kula bila kuzifanyia kazi mmesikia utopolo sio mnamsikiliza yule nguruwe pori tu.
 
Kama karudi Yanga waliofoji mkataba wake na wakapelekana hadi CAS na bado kuna wachezaji wanasaini Yanga sembuse hii ambayo hata yeye anajua kwamba ilikuwa nikutaka kuwaingiza simba mkenge ili wamlipe kwa kuvunjiwa mkataba ndiyo ifanye wachezaji wenye akili wakatae kusaini simba?
Time will tell
 
Back
Top Bottom