Kina la KOLO.....linasadifuLakini ndio tujifunze kuwa kwenye maisha roho mbaya huwa hailipi. Simba wangempa Morison tu hiyo barua kiroho safi kama walivyomuacha kiroho safi leo wangejijengea heshima hata kwa wachezaji wengine. Lakini walichokifanya kwa kweli hata baadhi ya wachezaji watajiuliza mara mbili kabla ya kusaini huko Simba. Ifike mahali Simba wajitambue kuwa wao ni klabu sana Afrika kwa hiyo waache uswahili uswahili. Sasa hivi hata vyombo vya habari vikubwa tu ukipita mitandaoni namna vinavyoandika habari za Simba ni kwa uzito fulani lakini Simba wenyewe wala hata hawajitambui kuwa wana hadhi gani kwenye soka la Afrika kwa sasa.
Kwani Sheria gani inawakataza kumpa likizo ndefu boss?Kwann walimpa likizo ndefu ....bila kupenda
Sidhani kama lugha ni kiini cha hao jamaa kuingia kwa nguvu.Nilicho observe pale mpaka wao kuingia kibabe, ilikuwa ufahamu finyu wa lugha kwa wenzetu!
Halali south afrika walimpiga kiberiti huyuBaada ya sakata la release letter kupamba Moto ambapo inadaiwa Morrison aliomba apewe barua ya kuwa huru then uongozi wa Simba uligoma na kutaka club inayomtaka ndio iende ili wapate chochote Kitu ( umaskini).
Jana Morrison amepost kijembe kwenye ukurasa wa Instagram na kumtag @harmonize tz kuandika Kama hivi:
"Sasa nitaimba kwenye club kwa pesa kutoka wiki hii [emoji1751] sitahitaji barua kuimba [emoji23] au @harmonize tz unasemaje?"
Huyu ni Morrison mzee wa kukela
Kama karudi Yanga waliofoji mkataba wake na wakapelekana hadi CAS na bado kuna wachezaji wanasaini Yanga sembuse hii ambayo hata yeye anajua kwamba ilikuwa nikutaka kuwaingiza simba mkenge ili wamlipe kwa kuvunjiwa mkataba ndiyo ifanye wachezaji wenye akili wakatae kusaini simba?Lakini ndio tujifunze kuwa kwenye maisha roho mbaya huwa hailipi. Simba wangempa Morison tu hiyo barua kiroho safi kama walivyomuacha kiroho safi leo wangejijengea heshima hata kwa wachezaji wengine. Lakini walichokifanya kwa kweli hata baadhi ya wachezaji watajiuliza mara mbili kabla ya kusaini huko Simba. Ifike mahali Simba wajitambue kuwa wao ni klabu sana Afrika kwa hiyo waache uswahili uswahili. Sasa hivi hata vyombo vya habari vikubwa tu ukipita mitandaoni namna vinavyoandika habari za Simba ni kwa uzito fulani lakini Simba wenyewe wala hata hawajitambui kuwa wana hadhi gani kwenye soka la Afrika kwa sasa.
Airport KakaUwanja wa TAIFA au AIRPORT?
Tazama press tano za mwisho za Yanga (usajili wa wachezaji, Nani Zaidi, usajili kidigitali wa washabiki, uzinduzi wa wimbo wa ubingwa), halafu uangalie kama utamuona Bumbuli au ManaraManara ameajiriwa na GSM ....Bumbuli ameajiriwa na Yanga
Uwanja wa taifa ? Taifa gani?Leo nimeumia sana pale Uwanja wa Taifa.
Nimeamini Lugha(English) ni tatizo kubwa kwetu Watanzania! Kuna wanaijeria walifika pale, mlango wa kuwasikl (Arrival) wakitaka kuingia ndani!
Wale jamaa wakafosi kuingia kupitia mlango ule bila kukaguliwa, sasa kwakuwa wao wanajua English, na pale wenzangu (walinzi hawajui) lugha, ikawa lugha gongana!
Jamaa wakawa wanatukana tena kwa ubabe, mwisho wa siku wakaingia bila kukaguliwa!
Nilicho observe pale mpaka wao kuingia kibabe, ilikuwa ufahamu finyu wa lugha kwa wenzetu!
Hakika watanzania itatuchukua muda mrefu sana katika soko la ushindani kimataifa, na tatizo kuu ikiwa ni Lugha.
Morison, anacheza na akiki ya hizi timu sababu kuu ni exposure aliyonayo!
Huku ni kujifariji tu.Morrison anajua kutafuta hela, yani anatumia akili ndefu kuishi na mawenge ya sisi watanzania tulio na upungufu wa vipaji vya soka.
Ghana hawezi kuleta udwanzi wa dzain hivyo maana kumesheheni vipaji vya kutosha. Wachache watamwona mwehu ila anajua kucheza na mindset za wabongo
Time will tellKama karudi Yanga waliofoji mkataba wake na wakapelekana hadi CAS na bado kuna wachezaji wanasaini Yanga sembuse hii ambayo hata yeye anajua kwamba ilikuwa nikutaka kuwaingiza simba mkenge ili wamlipe kwa kuvunjiwa mkataba ndiyo ifanye wachezaji wenye akili wakatae kusaini simba?