Dadaeqiiii[emoji23][emoji23]weee kubishana kwa kiingereza sio jambo rahisi aiseee muulize manara kule nigeria second round vs rivers utd alishindwa kabsa kubishana akaishiaaa kusemaaa what what what what ...... no no no no no what akamalizie na ohoooo timu aut (team out) hahahah
Sawa ndugu....na ikawe kheri kwenu......Wananchi....tutamrekebisha...tuna benchi zr la ufundi