Mchezaji nyota Bernard Morrison kwenye mahojiano na Azam TV asema amekuja Bongo kujitafuta sio kupata hela, kwani ametoka kupona majeraha sio rahisi kurudi moja kwa moja kwenye timu zenye presha (kubwa) β Muhimu ni kuipambania KenGold kuibakisha Ligi Kuu ya NBC.