Bernard Morrison

Sibonike

JF-Expert Member
Joined
Dec 23, 2010
Posts
17,296
Reaction score
18,027
Naona kuna juhudi kubwa za wana Mikia kuona BM anatimuliwa Yanga ili waokote dodo.

Ni kweli BM ni chizi kabisa, lakini Mikia na yeye mwenyewe wajue dili la kujiunga na Mikia watalisikia redioni tu.

Labda wajisalimishe kwa Wananchi ili mauzo yafanyike kwa mujibu wa taratibu. Vinginevyo, ana miaka miwili ya kusota na kukatwa mshahara kila wakati.

Aliamua kucheza chini ya kiwango ili kuiprovoke Yanga. It won't work!
 
Kweli mkiwa hamna ela mnateseka sana, Yanga mnalamba miguu Morison?, mngekuwa na pesa mngesajili ata chama, Ronald, Messi, okwi sio kukaa mnalia lia na Morison mwizi wa magari
 
Kweli mkiwa hamna ela mnateseka sana, Yanga mnalamba miguu Morison?, mngekuwa na pesa mngesajili ata chama, Ronald, Messi, okwi sio kukaa mnalia lia na Morison mwizi wa magari
Labda ndiyo maana mnataka. Aje akutane na mwizi/tapeli wa magari Mzungu pori.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…