Bernard Morrison

Unatuabisha Yanga.mwishoni wote tutaonekana vilaza kama wewe.morrison ana mpira wa kawaida.tulimkuza wenyewe....kusema simba wanampa pesa ni njia ya kutupiga pesa alishafaham mbinu za kuzipiga pesa simba na yanga...tusiwe mabwege


 
Unatuabisha Yanga.mwishoni wote tutaonekana vilaza kama wewe.morrison ana mpira wa kawaida.tulimkuza wenyewe....kusema simba wanampa pesa ni njia ya kutupiga pesa alishafaham mbinu za kuzipiga pesa simba na yanga...tusiwe mabwege
Sio tusiwe, sema usiwe bwege.
Unashindwa kung'amua vitu vidogo sana.
Hakuna shaka kwamba Morrison is such a talented player.

Tatizo ni tabia zake. Kucheza ligi ya DRC na Sauz kwenye top tier teams si rahisi kwa average player. Punguza ukilaza fuatilia mpira kwa akili.
 
Simba hawana mchezaji wa kiwango Cha Morrison. Ukiacha matatizo yake ya nje ya Uwanja Morrison si mchezaji wa kucheza soka katika ukanda huu wa Afrika Mashariki. Timu mzima ya Simba pamoja na Mwekezaji wao wote wanamwogopa Morrson, ilibidi Kapombe apigwe masindano ya ganzi ili arudi uwanjani kwa kumhofia Morrison.
 
Niambie impact aliyoleta morison mechi ya juzi,ndo maana anawapelekesha maana mnampa sifa nyingi wakati ni garasa tu
 
Unapata wapi nguvu ya kutype na kupost mapema hivi?
Ina maana ushasahau?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Au ndio mshazoea....
 
K
Kwa mtu anayejua mpira BM siyo mkali kihivyo....ila alipanda dau baada ya kubahatisha kuifunga Simba na zile mbwe mbwe zake mbili tatu za chenga....lakini nina uhakika hawezi kuendelea kushine akiwa Yanga au kwa Mikia
 
Kama Morrison sio mkali kwa apa bongo, Sasa waliobaki utasemaje? Morrison ni mkali kwakua bongo wachezaji wetu ni wakawaida sana. Morrison anatabia mbovu Ila mpira wake ni mkubwa kuliko wachezaji wengi. Kwa namba anayocheza apa TZ yeye ni mkali. Labda angerudi Lunyamila ndiye angemweka nje Morrison Ila kwa kizazi hiki atawaburuza sana.
 
Mchezaji mahiri asingekuja kusajiliwa Yanga akalipwa milion 60. Hamna hicho kitu. Morrison anatutesa Yanga sbabu ashatujua mabwege. Hamna kitu pale... Unadhani angekuwa that talented angekuwa bongo anadandia boda boda na kula ugali kwa kachumbari? Nyie ndo mnamfanya mpaka awapande na nyie sasa.....

 
Ndo Maana Morrison anawapanda Kwa sasa. Sisi wenye akili tulishamwona hafai....nyie mtapandwa sana....


 
Nimetenganisha vitu viwili. Talent na Attitude.

La kwanza ni maoni ya kila mtu. Unaweza kuona talent lakini mwingine anaona average player. Attitude haina mjadala.

Combination ya talent na proper attitude humfanya mchezaji kuwa bora.

Tusisanganye. Mikia wanamtaka by hooks and crooks. Wanadhani watamudu attitude yake.
 
Unapata wapi nguvu ya kutype na kupost mapema hivi?
Ina maana ushasahau?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Au ndio mshazoea....
Ku type na kupost imepangwa kuanzia muda gani?
 
Mikia wameshinda uwanjani wana haki ya kusema,lkn walichofanya huko nje ya uwanja kwa baadhi ya wachezaji wa Yanga akiwemo huyo morrison ni hatari,ila watu wameamua kukaa kimya sababu jamaa ndio washashinda
 
Ndio kiwango chake na cha Yanga, acheni kujificha kwenye kichaka cha Morison, mmepigwa 4G
NIMESOMA JANA HABARI kwa nini kocha wa orlando pirates alimuacha, ukiachilia mbali tukio la wizi wa magari, jamaa alichezea pirates mechi 4 tu kuna siku akajiangusha uwanjani bila kuchezewa rafu kocha mturuki kwa hasira akamtoa nje kabisa na tangu siku hiyo hakupangwa tena..kocha baadaye akasema jamaa ni mzuri kwa game la show off na akiwa na mpira ila kama hana mpira hana msaada kwa team hata kukaba hajui ndicho kilichotokea juzi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…