Bernard Morrison

mimi shabiki wa yanga lakini huyo Morrison ni mchezaji wa kawaida sana tena sana hana kiwango hata cha kumgusa mapinduzi balama, ila ushamba wa mashabiki wa yanga, viongozi na huyo sijui msemaji wa yanga au gsm hata haijulikani ndo vimemfanya huyo morrison avimbe na kudharau klabu yetu kubwa, nasisitiza kwa sasa yanga ina viongozi washamba, wahovyo, hawajielewi, wapowapo tu yaani nakosa hata maneno mengine ya kusema ila Yanga katika awamu hii ina viongozi wa hovyoooo kabisa kuliko wakati wowote tangu ianzishwe hii timu.
 
sasa kama ameshindwa kufanya lolote mbele ya kapombe aiyechomwa masindano ya ganzi unasemaje mchezaji hatari?
 
ulichokisoma naalichosema huyo kocha ni kweli kweli kabisa jamaa hamnakitu, Yanga tunashangilia akipanda juu ya mpira wakati hata ngassa alivyokuwa katika ubora wake alipanda pia.
 
Mwaka huu lazima muwe wachambuzi maana 4G imewachanganya akili
 
The Ghanaian was announced as a new signing at Chippa United in July, after officially parting ways with Orlando Pirates. However, Chippa’s announcement was denied by Morrison, with the midfielder describing it as ‘fake news’ and rejected the move to the Port Elizabeth outfit. It has since been confirmed that Morrison has joined DRC Ligue 1 outfit, DC Motema Pembe on a free transfer, according to GHANASoccernet.com. Morrison played in DRC with for AS Vita Club before his move to Pirates in 2016.

Jamaa hajaanza leo kuikana mikataba aliyoingia
 
Opinion kuhusu ubora wa mchezaji siku zote ni mawazo ya mtu binafsi.

Moja atamwona hivi na mwingine vile. Hili lisitupotezee muda. Kila mtu ahashimu la mwingine. La nidhamu halina mjadala.
 
Hii series tunasubiri mwisho wake
 
Kuna waghana walichezea Simba wakaondoka vizuri, azam wana waghana pia hamna tatizo ila vichekesho kama hivyo utavikuta utopolo tu
Asamoah alikuwa Yanga na hakuwa na upuuzi huo.
Unasemaje kwa AS Vita, Orlando Pirates? Reason first!
 
Huyu Mwizi pale Simba anacheza namba ya nani kwa mfano?[emoji23][emoji23]
 
Simba haina mpango wa kusajiri huyo kibaka,
Msemaji wa mabingwa wa nchi leo katoa tamko kuwa hakuna usajiri utakaofanywa katika nafasi ya kiungo kwa sababu Simba Sports Club ina wachezaji wengi katika eneo hilo ambao ni wazuri mara kumi ya huyo kibaka,
Hata Ajib alikuwa tegemeo hapo Utopolo na aliwachachafya kama anavyowachachafya huyu Ndevu za Karantini lakini amekuja Simba anasubiri,

Uto pambaneni na hali yenu kwa sasa mjenge timu yenu sio kutafuta visababu visivyo vya msingi.
 
Mikia wameshinda uwanjani wana haki ya kusema,lkn walichofanya huko nje ya uwanja kwa baadhi ya wachezaji wa Yanga akiwemo huyo morrison ni hatari,ila watu wameamua kukaa kimya sababu jamaa ndio washashinda
Tulia dawa ikuingie
 
Hii series tunasubiri mwisho wakeView attachment 1506359
Huyu jamaa asipoangalia ataachwa na yanga na simba pia ikampotezea,halafu akakosa nauli ya kurudi na akaanza mambo yake ya uwizi .

Mchezaji anamtishia mlinzi wa kambi na mwiko wa chuma,anabembelezwa na anachagua mechi ya kucheza,Kwa jicho lingine yanga walifanya la maana kumpa mkataba wa miezi 6,imagine kwa tabia zake hizo angesinya mkataba wa miaka miwili halafu achague mechi anayotaka na injury za visingizio au kuumwa.

Huyu Morison hafai kama ni mfupa haufai hata kwa supu,na msimwone ni mjinga kiasi hicho ,huyu jamaa inawezekana ana mishe zake za siri hapa bongo si kwa kujiamini kiasi hicho mbona kina Asante Nkwasi walikuwa na nidhamu na waliondoka mikono safi.

Mchezaji yuko ugenini anakimbia mechi ikiendelea anachukua bodaboda,huyu jamaa anajua chocho za bongo vizuri ,huyu jamaa ana mambo yake mbali na soka hawezi kuchezea chance kiasi hicho
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…