Bernard Morrison

Tushatoa angalizo kwa uongozi wa Yanga wamrudishe walikomtoa lasivyo akikamatwa ameiba basi Yanga tutawaitia Simba
 
Naangalia marudio ya game ya junzi Simba punguzeni draft yaan wachezaji wa Yanga wanapiga sarakasi na tichi mkononi kuutafuta mpira
 
Kwa huu mkwara mzee mbona utopolo watareact faster
 
Naangalia marudio ya game ya junzi Simba punguzeni draft yaan wachezaji wa Yanga wanapiga sarakasi na tichi mkononi kuutafuta mpira
Magoli yalikuwa yawe 7,luis alikosa moja ya wazi,bocco kakosa 2,chama mawili
 
Talent bila nidhamu hakuna kitu, huyo ni mhuni kama wahuni wengine tu mitaaani hana sifa ya kuchezea Simba, huyo level yake ni huko utopolo tu ndiyo maana mnahangaika na tungo za kipuuzi kuhusu huyu kibaka. Imekula kwenu, mtacheza ndondo hadi mkome, hata Namungo anawashinda!!
 
Kiwewe cha goli nne kinakusumbua na bado awamu hii utapigqa 8 ni suala la muda tuuu
 
Tutaanza kujadili mkipata mataji ya ubingwa sawa na Yanga.
Sasa hivi ni total wastage of our precious time kwa sisi wana Yanga.

Ni sawa na pale EPL. Kuna vidume wawili tu. Man United na Liverpool. Humo haingii Arsenal wala Man City.
 
Acha kutuletea historia hapa wewe takataka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…