The Phylosopher
JF-Expert Member
- Mar 11, 2015
- 1,968
- 2,957
Pumbavu wewe! yaani kuunganisha vyama ni shule toka kenya??Nimesikiliza kwenye taarifa ya habari ya dw kuhusu mwanasiasa mkongwe wa siasa za upinzani nchini Uganda ambapo wamesema huenda wazo la kuunganisha vyama kumi vya kisiasa nchini uganda na kuunda muungano mpya wa kisiasa dhidi ya nrm, alilipata nchini kenya ambako alifanya ziara hivi karibuni.
Ndipo nikajiuliza hivi angechagua kuja hapa kwetu kwa ajili ya kujifunza kuna chochote angeambulia kama somo la namna ya kuendesha siasa za upinzani!?
Imenibidi nisichangie uzi nikuchangie wewe na hii comment yako, hivi hizi stress zenu zinasababishwa na nini hasa?Pumbavu wewe! yaani kuunganisha vyama ni shule toka kenya??
Angeambulia kucheka heka na kukenuakenua mimeno kwa nje kiunafikiNimesikiliza kwenye taarifa ya habari ya dw kuhusu mwanasiasa mkongwe wa siasa za upinzani nchini Uganda ambapo wamesema huenda wazo la kuunganisha vyama kumi vya kisiasa nchini uganda na kuunda muungano mpya wa kisiasa dhidi ya nrm, alilipata nchini kenya ambako alifanya ziara hivi karibuni.
Ndipo nikajiuliza hivi angechagua kuja hapa kwetu kwa ajili ya kujifunza kuna chochote angeambulia kama somo la namna ya kuendesha siasa za upinzani!?
Dogo hujanielewa soma unieleweImenibidi nisichangie uzi nikuchangie wewe na hii comment yako, hivi hizi stress zenu zinasababishwa na nini hasa?
1. Ugumu wa maisha unaoletwa na tozo za CCM?
2. Ukosefu wa elimu?
3. Unaabudu kwa waganga wa kienyeji?
No 2 ni jibu la vyoteImenibidi nisichangie uzi nikuchangie wewe na hii comment yako, hivi hizi stress zenu zinasababishwa na nini hasa?
1. Ugumu wa maisha unaoletwa na tozo za CCM?
2. Ukosefu wa elimu?
3. Unaabudu kwa waganga wa kienyeji?