Best full-back and winger partnerships

Best full-back and winger partnerships

xYz07

JF-Expert Member
Joined
Apr 13, 2015
Posts
4,077
Reaction score
5,910
kwa msimu uliotoka kumalizika 2014/15 messi na alves wamekua ni best partnership kati ya beki na winga (mechi nyingi messi msimu huu katokea pembeni) wamekua wanaelewana sana kiasi cha kuisadia barca kuchukua trebble, vp kwa upande wako wewe ni partnership gani ya full back na winger unayodhani ilikua/ipo vizuri??
kwa upande wangu ni hii hapa:
~messi na alves (barca)
~di maria na marcelo (madrid)
~Alaba na ribery '13 (bayern)
~Baines na pienaar (everton)
 
Di Maria na Marcelo kivipi!? Usiangalie kwa mechi mbili au tatu, Sema Marcelo na Ronaldo, kama Di Maria alikuwa ni left wing, Je Ronaldo alikuwa anacheza wapi!?
 
Shadrack Nsajigwa $ Mrisho Halfan Ngassa.
 
Di Maria na Marcelo kivipi!? Usiangalie kwa mechi mbili au tatu, Sema Marcelo na Ronaldo, kama Di Maria alikuwa ni left wing, Je Ronaldo alikuwa anacheza wapi!?

mkuu hapa mi nimeangalia partnership yao kwa ule msimu wa mwisho wa di maria akiwa madrid, any way nyingne ni carlos na figo
 
Thread umeandika Full-back na Winger, haujawahi kutokea msimu mzima au hata mechi 5 mfululizo Marcelo akawa full beki ya kushoto na Di Maria akawa Left Wing, HAKUNA HUO MSIMU.
Nadhani unachanganya kile kipingi Marcelo akiwa Beki na Di Maria akiwa ni Left Attacking Middfielder na Left Wing alikuwa ni Cristiano Ronaldo.
Mimi huwa ni mshabiki mkubwa wa LA LIGA kwahiyo ktk hili ulijichanganya Kaka, lakini ndo mpira au sio!?
 
mi nilivo muelewa jamaa ni kwa kuangalia zile mechi ambazo di maria alicheza kama left attacking mid, and to be honest hii partnership ilikua na impact sana kama ile ya zidane na carlos au navas na zabaleta man city
 
Hapo sawa na hata ukisoma comment yangu ya kwanza nikamjibu kuwa asiangalie kwa mechi mbili au tatu ila aangalie at least kwa msimu mmoja kwa maoni yangu mimi. Kwa kuangalia mechi moja au mbili tutajaza Thread hii, itatoa hata partnership ya Puyol na Messi pia.
 
si kwa kuangalia mechi ngapi wamecheza kaka, ishu niliyokua najaribu kuisema ni kwamba haijalishi wamecheza mechi ngapi lakn endapo siku wakacheza kuunda hyo partnership ofcourse inanoga, mfano pia ni blind na young (although najua huangaliagi mechi za man u) sio kwamb mechi zote blind anacheza kama full back, {correct me if am wrong}
 
Hapa nimekuelewa maana mimi nilisoma thread na nikaona umeandika kuwa ni partnership ipi ilikuwa au ipo vizuri. Sikuona sehemu ulipoandika tu_assume kama ikitokea hiyo prtnshp itakuwaje ndo maana mimi nakakaa zaidi ktk fact za Prtnshp zilizopita na ambazo zipo.
 
Hapo sawa na hata ukisoma comment yangu ya kwanza nikamjibu kuwa asiangalie kwa mechi mbili au tatu ila aangalie at least kwa msimu mmoja kwa maoni yangu mimi. Kwa kuangalia mechi moja au mbili tutajaza Thread hii, itatoa hata partnership ya Puyol na Messi pia.

cincinho & navas (sevilla)
 
Hapa nimekuelewa maana mimi nilisoma thread na nikaona umeandika kuwa ni partnership ipi ilikuwa au ipo vizuri. Sikuona sehemu ulipoandika tu_assume kama ikitokea hiyo prtnshp itakuwaje ndo maana mimi nakakaa zaidi ktk fact za Prtnshp zilizopita na ambazo zipo.

poa mkuu, nimekusoma
 
mi nilivo muelewa jamaa ni kwa kuangalia zile mechi ambazo di maria alicheza kama left attacking mid, and to be honest hii partnership ilikua na impact sana kama ile ya zidane na carlos au navas na zabaleta man city

mkuu hapo kwa navas na zabaleta mmmhhh, labda silva na zaba
 
Amir Maftah & Danny Mrwanda Taifa Starz!!!

dah, huku mi ndio mnanitupa kabisa, sikumbuki hata mara ya mwisho kuwaona wabongo wakicheza ilikua lini kdgo samatta na ulimwengu nawaona kwenye club bingwa afrika
 
Ahahahahahahahahahahaha daaah, mimi nilikuwa nafatilia Starz ya kipindi hiko sababu walau walikuwa wakicheza soka la kueleweka. Leo hii mimi na utu uzima wangu siwezi kuweka makalio yangu chini nikiangalia Taifa Starz ikicheza mpira. Labda icheze na timu kubwa kama Ivory cost, apo hata Taifa nitaenda.
 
kwa msimu uliotoka kumalizika 2014/15 messi na alves wamekua ni best partnership kati ya beki na winga (mechi nyingi messi msimu huu katokea pembeni) wamekua wanaelewana sana kiasi cha kuisadia barca kuchukua trebble, vp kwa upande wako wewe ni partnership gani ya full back na winger unayodhani ilikua/ipo vizuri??
kwa upande wangu ni hii hapa:
~messi na alves (barca)
~di maria na marcelo (madrid)
~Alaba na ribery '13 (bayern)
~Baines na pienaar (everton)

Gary Neville na David Beckham, Man Utd na England.

Ashley Cole na Thierry Henry, Arsenal.
 
Ahahahahahahahahahahaha daaah, mimi nilikuwa nafatilia Starz ya kipindi hiko sababu walau walikuwa wakicheza soka la kueleweka. Leo hii mimi na utu uzima wangu siwezi kuweka makalio yangu chini nikiangalia Taifa Starz ikicheza mpira. Labda icheze na timu kubwa kama Ivory cost, apo hata Taifa nitaenda.

you cant believe ukinambia nikutajie starting eleven ya star siijui, labda hapo baadae, lakn ukitaka nikutajie hata sub za mainz nakutajia hata nikurupushwe usingizin
 
Back
Top Bottom