best maandazi recipe

best maandazi recipe

​Okay chukuchuku ni supu, shukrani.

Noooo mie nlifkir unaniuliza baina ya soup ya kuku au mchuzi wa kuku napendea kipi....

Chukuchuku ni mchuzi ambao hauwekwi mafuta unakua na ndimu nyingi unachapuka......

Soup ya kuku huijui?
 
Hahahaaaa. Ll.

N seriously mwaya anddazi kwangu lisiwe na nyama ndani alafu softiiii. Acha tu.

Likiwa na nyama bado halijanivutia.

Ya Mombasa unayajua weye?

Hayo yasonyama nayajua ila sijui km ndo km ya mombasa!!
 
mh kumbe humu ndani unaweza kushiba hata kama hujala loo!!!!!!
 
ahsante sana kwa recipe.

majuzi nilipika vitumbua vya nyama ya kusaga ukweli nilijaribu kidogo na vilitoka vitamu sana ikawa kesi kwa vifua chuma wangu manake wao ni full appetite hasa kwa menu mpya na tamu............nimeahidi kurudia this wk end hope nitaandaa na haya mandazi watafurahia zaidi
 
Hongera mama wapikie wajilie kwa raha zao
 
Kila la kheir[/Q
Afu nataka kujaribu roast kuku kwa nazi na mayai ya kuchemsha.
Jana nlichoka hata sijapika nimeagiza kuku asa nkitoka job full uchovu looo
 
Kila la kheir[/Q
Afu nataka kujaribu roast kuku kwa nazi na mayai ya kuchemsha.
Jana nlichoka hata sijapika nimeagiza kuku asa nkitoka job full uchovu looo

Ungekua huna haraka saana kuna recipe ya kuku unaweka nazi na vikorobwezo vengine ningekupa right now ila ntaweka kwa faida ya wengine
 
Kwa kuengezea tumia recipe hii kwa kubake pia kwa kupendezesha zaid nimepakaa ute wa yai na kunyunyuzia ufuta juu yake...haya hayakinaishi waweza kula mengi zaid
 
Attachments

  • 1400724083033.jpg
    1400724083033.jpg
    104.2 KB · Views: 280
Back
Top Bottom