Last emperor
JF-Expert Member
- Mar 22, 2015
- 10,351
- 9,855
Nas B na Best Basso ni wanamuziki ambao pamoja na kuimba nyimbo zenye ujumbe lakini bado Watanzania hatujawaelewa. Ukisikiliza Ng'ombe wa Maskini hazai na Dua la Kuku (Bora aende) utakubali nachosemaSalaam wana JF, kuna msanii mwenye kipaji cha hali ya juu lakini hana bahati, hapa namaanisha kuwa nyimbo zake hazichezwi sana redioni wala kwenye TV. Lakini ukiangalia nyimbo zake Zina ujumbe mzuri na muziki mzuri kwa ujumla. Sijui kwanini huwezi msikia kwenye tuzo wala show mbalimbali, sasa labda sijui shida iko wapi, hana management au nini. Waungwana naomba tusaidie kumshauri..
Huyu jamaa nyimbo zake zinapendwa na madereva wa bodaboda....ukute dere kaiweka mweh utahisi upo ukumbini
Huyu jamaa nyimbo zake zinapendwa na madereva wa bodaboda....ukute dere kaiweka mweh utahisi upo ukumbini
ujumbe ilikuwa miaka ya 1960 huko, mziki umebadilika saana nowdays kama ujumbe ingekuwa ishu saana wasanii wa injili wangekuwa hawashikiki, au hip hop ngumu maana ndio wazee wa maujumbe...
Kwahiyo ajipange tu mziki uwe na ladha, afu ishu sio tuzo na redio pekee, hivi unafikiri anaweza kupiga show alipwe milioni 10 huyo????
Nas B na Best Basso ni wanamuziki ambao pamoja na kuimba nyimbo zenye ujumbe lakini bado Watanzania hatujawaelewa. Ukisikiliza Ng'ombe wa Maskini hazai na Dua la Kuku (Bora aende) utakubali nachosema
Mkuu nilikuwa sijui hili, lakini huyu bwana hana show za kumtambulisha kwa wapenzi wake kama wasanii wengine maarufuHuyu ni msanii mkubwa sana.......kwenye magari ya kwenda mikoani..!
Huyu jamaa nyimbo zake zinapendwa na madereva wa bodaboda....ukute dere kaiweka mweh utahisi upo ukumbini
Ili songi lake lilihit sana ukiachana na tuma, linaitwaje tena?Ha ha ha,
Hata vibosile wa ofisini baadhi wanaipenda tu. Ukute mtu sasa uko ofisini mjini safi tu, but maisha yako ulikulia mitaani uswahilibi. Hizi utazipenda tu sambamba na za Msaga Sumu mixer mchiriku wa Hisani na Jagwa
Wasubiri miujiza ya Allah! Shetta nae sijui anafanya kitu gani kwenye industry ya mziki nae ajiunge na kina best naso hana anacho kifanya
Salaam wana JF, kuna msanii mwenye kipaji cha hali ya juu lakini hana bahati, hapa namaanisha kuwa nyimbo zake hazichezwi sana redioni wala kwenye TV. Lakini ukiangalia nyimbo zake Zina ujumbe mzuri na muziki mzuri kwa ujumla. Sijui kwanini huwezi msikia kwenye tuzo wala show mbalimbali, sasa labda sijui shida iko wapi, hana management au nini. Waungwana naomba tusaidie kumshauri..
Nas B na Best Basso ni wanamuziki ambao pamoja na kuimba nyimbo zenye ujumbe lakini bado Watanzania hatujawaelewa. Ukisikiliza Ng'ombe wa Maskini hazai na Dua la Kuku (Bora aende) utakubali nachosema