Best Nasso: Msanii mwenye kipaji cha hali ya juu asiekuwa na bahati

Last emperor

JF-Expert Member
Joined
Mar 22, 2015
Posts
10,351
Reaction score
9,855
Salaam wanaJF,

Kuna msanii mwenye kipaji cha hali ya juu lakini hana bahati, hapa namaanisha kuwa nyimbo zake hazichezwi sana redioni wala kwenye TV. Lakini ukiangalia nyimbo zake Zina ujumbe mzuri na muziki mzuri kwa ujumla.

Sijui kwanini huwezi msikia kwenye tuzo wala show mbalimbali, sasa labda sijui shida iko wapi, hana management au nini?

Waungwana naomba tusaidie kumshauri..
 
Kwa nini unasema hana bahati? Hiyo bahati inazuiwa na nani?
 
Salaam wana JF, kuna msanii mwenye kipaji cha hali ya juu lakini hana bahati, hapa namaanisha kuwa nyimbo zake hazichezwi sana redioni wala kwenye TV. Lakini ukiangalia nyimbo zake Zina ujumbe mzuri na muziki mzuri kwa ujumla. Sijui kwanini huwezi msikia kwenye tuzo wala show mbalimbali, sasa labda sijui shida iko wapi, hana management au nini. Waungwana naomba tusaidie kumshauri..
Nas B na Best Basso ni wanamuziki ambao pamoja na kuimba nyimbo zenye ujumbe lakini bado Watanzania hatujawaelewa. Ukisikiliza Ng'ombe wa Maskini hazai na Dua la Kuku (Bora aende) utakubali nachosema
 
Huyu jamaa nyimbo zake zinapendwa na madereva wa bodaboda....ukute dere kaiweka mweh utahisi upo ukumbini

Ha ha ha,
Hata vibosile wa ofisini baadhi wanaipenda tu. Ukute mtu sasa uko ofisini mjini safi tu, but maisha yako ulikulia mitaani uswahilibi. Hizi utazipenda tu sambamba na za Msaga Sumu mixer mchiriku wa Hisani na Jagwa
 
Huku site tunamwelewa vizuri tu labda nyie mnaosubiri promo ya radio kumjua msanii .!
 
ujumbe ilikuwa miaka ya 1960 huko, mziki umebadilika saana nowdays kama ujumbe ingekuwa ishu saana wasanii wa injili wangekuwa hawashikiki, au hip hop ngumu maana ndio wazee wa maujumbe...

Kwahiyo ajipange tu mziki uwe na ladha, afu ishu sio tuzo na redio pekee, hivi unafikiri anaweza kupiga show alipwe milioni 10 huyo????
 
Akatoe kichupa South 😀😀
 
Nas B na Best Basso ni wanamuziki ambao pamoja na kuimba nyimbo zenye ujumbe lakini bado Watanzania hatujawaelewa. Ukisikiliza Ng'ombe wa Maskini hazai na Dua la Kuku (Bora aende) utakubali nachosema

Nakubaliana na wewe mkuu, lakini cha ajabu katika matamasha makubwa huwezi mkuta amealikwa kufanya show, lakini bado ni msanii mkali anaeimba nyimbo zenye hisia na ujumbe mzito. Kitu nashindwa kuelewa ni kwamba hana management na promo za kutosha? Nashindwa kuelewa kwa kweli..
 
Wasubiri miujiza ya Allah! Shetta nae sijui anafanya kitu gani kwenye industry ya mziki nae ajiunge na kina best naso hana anacho kifanya
 
Ha ha ha,
Hata vibosile wa ofisini baadhi wanaipenda tu. Ukute mtu sasa uko ofisini mjini safi tu, but maisha yako ulikulia mitaani uswahilibi. Hizi utazipenda tu sambamba na za Msaga Sumu mixer mchiriku wa Hisani na Jagwa
Ili songi lake lilihit sana ukiachana na tuma, linaitwaje tena?
anasema anarudi kuchoma mkaa
 
Wasubiri miujiza ya Allah! Shetta nae sijui anafanya kitu gani kwenye industry ya mziki nae ajiunge na kina best naso hana anacho kifanya

acha hizoo, shetta yupo vizuri ukitaja wasanii 5 kutoka bongo wanaofanya poa international shetta hakosi, kwa show ndani sahivi anapata zake mpunga dola 5000 ambayo ni zaidi ya mil 10 tshs unaona anacheza hapo??? na ubalozi wa star times juu??? aaaaaaaaaaaaarggg
 
Salaam wana JF, kuna msanii mwenye kipaji cha hali ya juu lakini hana bahati, hapa namaanisha kuwa nyimbo zake hazichezwi sana redioni wala kwenye TV. Lakini ukiangalia nyimbo zake Zina ujumbe mzuri na muziki mzuri kwa ujumla. Sijui kwanini huwezi msikia kwenye tuzo wala show mbalimbali, sasa labda sijui shida iko wapi, hana management au nini. Waungwana naomba tusaidie kumshauri..

Ni kwel unalolisema, ubora wake anaufaham vizuri D,jaro Arungu ndo huwa anacheza nyimbo zake saaaaaana!!
 
Nas B na Best Basso ni wanamuziki ambao pamoja na kuimba nyimbo zenye ujumbe lakini bado Watanzania hatujawaelewa. Ukisikiliza Ng'ombe wa Maskini hazai na Dua la Kuku (Bora aende) utakubali nachosema

D,jaro ndo anajua ukal wa hawa wasanii huwa anafanya nao interview na promo za kutosha tu! Media nyingine mmmmh
 
Back
Top Bottom