Mama Anna Kilango, Mheshimiwa mbunge ni mwanasiasa, na wanasiasa wote duniani ni ma-opportunist kwa sababu ni mwanasiasa mjinga tu ndiye anyeweza kusema kuwa ameridhika na ubunge tu, kila mwanasiasa duniani ni lazima awe na lengo la kuwa waziri, waziri mkuu, mpaka rais, mchezo wa siasa unachezwa kwa opportunity ndio maana wagombea wa siasa kama Pinda, aliposhindwa ubunge mara ya kwanza hakukata tamaa, akarudia tena opportunity ilipotokea na leo ni Waziri Mkuu, sasa Pundamilia kama hii ndio opportunism uliyokuwa unaiongelea kwa mbunge huyu wa Same East, I can understand, lakini you were wrong kujaribu kuiweka hiyo kwenye personal life yake,
Sasa hivi uchumi wa US ni mbovu, Republicans wameiona hiyo opporunity na kuamua kutoa rebate checks za taxes ili kujiweka sawa na wananchi kwa ajili ya uchaguzi wa rais ujao, unless tuna matatizo ya kuelewa maana ya neno "Political Opportunism", ninasema kuwa yes Mbunge Mama Anna Kilango, ni political opportubist kwa sababu ameiona an open political opportunity ya kujiweka sawa kisiasa na ameitumia, bila ya uoga na kujiwekea jina kubwa sana kwenye siasa zetu za kupambana na mafisadi, na tunamuombea Mungu ampe moyo huo huo, atakapoona opportunity nyingine ajitokeze tena, maana inaonekana Bongo tutakombolewa na hawa kind ya political opportunists,
Kuhusu jimbo lake la uchaguzi, kabla hajagombea tulisikia haya haya kuwa hawezi kumtoa waziri Yona, in the end akamuondoa tena Yona alishika nafasi ya tatu, wala sio ya pili waziri mzima against huyu mama, Keenja alishindwa naye kule Ubungo, ikabidi kuiba kura, mkuuu mama ataendelea na ubunge kule Same East maana anakubalika sana, tena sana, muulize mbunge wa West aliyejaribu kum-cross kwenye ujenzi wa soko mama alimuendea kwa rais, rais mwenyewe akaenda kule Same zote mbili, na akaamuru soko lijengwe East, na yule waziri wa West akaondolewa kwenye wizara ya mlo, mkuu bara bara haikutegemewa kujengwa huko Same East, lakini juhudi za huyu mbunge, Rais alienda huko tena majuzi na kuhakikisha mwenyewe kuwa mradi unaendelea. Mama ni mbunge shujaaa haogopi kiongozi yoyote, siku ya Zitto kusimamishwa bunge, Lowassa alimtumia Buriani, kumtisha, mama akaamua kwenda kuonana naye uso kwa uso mkuu Edward na kumpa maneno mazito ambayo hata siwezi kuyasema hapa, na alimuahidi kuwa edward kuna siku nitakutwanga, and she did the other day tena mchana kweupeeeee wote wananchi tukiona, that is leadership mkuu, kama ni opporutnism so be it, lakini wananchi wnegi wameridhika naye mkuu, tafuta magazeti ya bongo uone mkuu, mama anapeta,
Labda Tanzania, tutakombolewa na politicians ambao ni opporutnists, kama kina Mwakyembe, na Mama Kilango, maana ni through their political opportunism The Mighty Lowassa, ameondolewa, the untouchables Karamagi, na Msabaha wameachia ngazi,
Mungu Aibariki Tanzania!