THE CRITIC
Member
- Sep 27, 2007
- 10
- 0
Mkuu the ishu ni taifa hapa, sio Es taifa liko njia panda tunasonga mbele muda wa personalities za watu na viongozi hatuna tena, maneno ya wachumba wa viongozi yapelekwe kwenye nywepesi nywepesi na udaku sio hapa, Lowassaa, Karamagi, Msabaha, Hosea, nje huu ni mwanzo tu, bado tunasonga mbele,
mwenye shida na mimi ES na wale wenye obssession na mimi nitafute kwenye PM nipe namba yako au nitakupa yangu tuongeee, kama una matusi ya kunipa lete huko, I love it, hoja hujibiwa kwa hoja, sio viroja hapa simjui mtu na hanijui mtu, you can say anything you want nafikiri by now unajua kuwa ni waste of time, the goal hapa ni taifa tu kumkoma nyani mpaka kieleweke!
FIELD MARSHALL ES,
NAKUSHUKURU KWA KUAMUA KWAKO KUJITOA KUTETEA UPUUZI WAKO. NILIKUULIZA SWALI KAMA WEWE UNAMJUA FIKA HUYO MAMA, LAKINI KWA KUSHINDWA KUJIBU SWALI NILILOKUULIZA NI WAZI KABISA KWAMBA HUMJUI KAMA UNAVYODAI AU UNAVYOTAKA KUFICHA YALE AMBAYO NI MAPUNGUFU YAKE. KAMA ILIVYO, PUBLIC IMAGE LAZIMA IJULIKANE KAMA ILIVYO KWA PUBLIC. SAMAHANI SANA KAMA UNAONA MISTARI YANGU IMEKUWA KAMA INATIBUA MWELEKEO WA ULAJI KATI YA SIKU MBILI HIZI.
IN SHORT HUYO MAMA NI 'OPPORTUNIST' NA HILI HUWEZI KULIBADILISHA. KAMA UNAMFAGILIA ETI TU KWA SABABU AMEKUWA AKICHUKUA 'HOJA' ZAKO NA KUZIPELEKA BUNGENI NADHANI HUO NI WAJIBU WA KILA MWAKILISHI, LAKINI NADHANI PIA HUENDA ALIKUWA AKITOA SIRI ZA NDANI BUNGENI NA KUKUPATIA UZIWEKE HUMU NDANI AU SIO?
ANNA NINAMFAHAMU A TO Z ANA MAPUNGUFU YAKE KADHAA KAMA BINADAMU WENGINE, KUNA TATIZO GANI WANANCHI WAKIFAHAMU MAPUNGUFU YA KIONGOZI WAO? AU UNATAKA NIONGELEE YALE UNAYOTAKA KUSIKIA WEWE TU? NI WATU WANGAPI HAPA WAMESEMWA MAPUNGUFU YAO NA UKAJITOKEZA HADHARANI KUWATETEA?
ACHA UZANDIKI.
bangusule.....................
.....im sorry the statements quoted DO NOT MAKE SENSE AT ALL!!!.......na sidhani kama hayo maneno aliyazungumza huyu Mama unless akama alikuwa amelewa dengerua au kichaa.......mtu yeyote wa kawaida hawezi kusema hayo wakati serikali ilishasema itajenga sehemu zote mbili!!!!!!..................kama serikali iliahidi kujenga shule mbili moja uzambara na moja jitengeni..........tatizo liko wapi................kama imeanza kujengwa shule ya uzambara kaulize Wizara ya Elimu na utaratibu wao kwa nini wameanzia hukooo????.......................hata kama Anne Kilango ame-influence ianze ya uzambara.........tatizo liko wapi.....pengine ni perception yako tu .......jitengeni si kutajengwa nako!!!!!..............SHULE ZITAJENGWA......PERIOD!...............kuna hoja nyingine hapo mkuu
Wewe ndio inaonekana una uzandiki na upuuzi hapa na wala usiite wenzako kwa hayo majina. Wewe unadai kuwa huyu mama ni opportunist na wala hutoi mifano ya kutetea kauli yako. Haya mambo ya kusema tu vitu bila kutoa data ndio upuuzi na uzandiki damn it!
Mkulu FMES ametoa data na maelezo ya kutosha kuhusu huyu mama ambaye wengi hapa JF tunamwona kuwa anagive 'em boyz huko bungeni hell na wewe ukaanza kumtukana bila sababu. Najua wewe na watetezi wa mafisadi wenzako huko ccm mlijenga chuki dhidi ya mama Malecela kwa vile alichukizwa na kuonyesha hadharani kuchukizwa kwake na kitendo cha kumfukuza Zitto bungeni. Chuki zenu zilizidi zaidi baada ya mama kushika bonge la bango ili mambo ya Lowasa na Karamagi yawekwe wazi.
Wewe unaona kama aliyofanya mama Malecela ni opportunism? Yeye anaonyesha hapa mfano kwa wabunge wa ccm kuwa wasingaganie tu kukubali mambo ya chama hata kama hayafai. Huyu mama MUNGU amlinde na wazandiki na wapuuzi kama wewe mnaotaka kumpaka matope kwa chuki zenu binafsi mwende hell!..... grrrrr unafanya mpaka nimekuja hapa weeekend (ambavyo sio kawaida yangu).
Hongera mama Kilango Malecela, wape hell hao boyz mafisadi mpaka kieleweke!
Jamani hili swala la Spika kumnongeneza in advance Lowassa kuhusu tuhuma za richmond kabla hazijazungumzwa na Bungeni na Lowassa kulisema wakati anajitetea kuhusu kashfa ya Richmond wazee mnalionaje?miye naona kama vile inabidi kumsimamiya naye Spika Sitta ajiuzulu kwa kuamua kutoa taarifa kwa upendeleo kwa Mhe Lowassa kabla haijawa wazi kwa wabunge wengine kwa maana alikuwa anataka kumbeba.
Najenga hoja hiyo
Hiyu mama wengi tunamkubali kwa jinsi anavyojua kushupalia mafisadi, lakini hebu nifumbueni kidogo jinsi alivyompata mzee JM mara baada ya kufiwa na mkewe, je sio mzee aliikwaa mitego ya ki-vietnam ya huyo mama? na kwanini alikorofishana na watoto wa mzee JM mpaka wakatengana kidogo na nusura hapo amtose mzee? kwii kwii kwiii opportunist kwiikkkhoja hujibiwa kwa hoja, sio viroja hapa simjui mtu na hanijui mtu, you can say anything you want nafikiri by now unajua kuwa ni waste of time, the goal hapa ni taifa tu kumkoma nyani mpaka kieleweke!
MWAFRIKA WA KIKE,
NIMEFURAHI KUONA KUWA KUMBE UNAWEZA KUTUNGA HABARI AMBAYO SI YA KWELI JUU YANGU KAMA ULIVYOITUNDIKA HAPO JUU. LAKINI NADHANI HUO NDIO UKWELI JUU YA FIKRA ZAKO NA UWEZO WAKO WA KUFIKIRI.
KAZI YANGU NILIKWISHAMALIZA NA KUIELEZA PUBLIC KUWA HUYO MAMA NI OPPORTUNIST. KWA YEYOTE ANAYEKERWA NA UKWELI HUU I AM SORRY , I CAN'T HELP. ZAIDI YA HAPO, KATU SITAWEZA KUUBADILI UKWELI HUO UWE VINGINEVYO. SHE IS AN OPPORTUNIST.
BINAFSI SINA CHUKI NAYE HATA KIDOGO, LAKINI KAMA MNAMPENDA SANA NA HAMTAKI ASIONGELEWE, BASI NENDENI MKANYWE NAE CHAI AWAPATIE 'NYETI' ZA BUNGENI NA NYINGINE ANAZOZIPATA SERIKALINI.
Ogah,
kitu gani usichoelewa? nitajitahidi kadri yangu kueleza kilichotokea.
jimbo la same-mashariki lina kata 14. wakati ndhira 'daniel yona' zilijengwa shule 13 za sekondari za kata.
mama ana kilango alipofaulu ubunge kukafanyika kikao kuona jinsi ya kujenga shule ktk eneo linaloitwa kihurio.
katika kikao hicho ikaamuliwa zijengwe shule mbili. moja ijengwe jitengeni nyingine ijengwe uzambara. kijiji alichozaliwa mama kilango kinaitwa uzambara.
mama kilango alipinga ujenzi wa shule jitengeni lakini alizidiwa kwa hoja. serikali ilitoa ahadi ya kugharamia ujenzi wa shule mbili.
baada ya vikao mama kilango akaanza kuwatisha wananchi kwamba atahakikisha shule inajengwa alikozaliwa yeye uzambara.
baadaye katika mkutano wa hadhara uliofanyika jitengeni kihurio same-mashariki mama kilango akatoa kauli ifuatayo:-
"mimi anna kilango nasema hakuna shule itakayojengwa hapa Jitengeni. sitaki kusikia mtu anazungumzia suala hili tena. anayetaka kuliendeleza akazungumze na mkewe chumbani."
wananchi wamekasirishwa na kauli za dharau alizotoa mama kilango. ndiyo maana sasa wameanzisha kampeni ya kumuondoa mama kilango katika uchaguzi wa 2010.
mama anna kilango anasema alitishwa bungeni. yeye mbona anawatisha wananchi wanaolilia maendeleo? kupinga kwake ujenzi wa sekondari jitengeni ni ufisadi. lugha anazotumia ni za matusi na kifisadi pia.