hello jf... je ni njia gani nzuri zaidi kwa ajili ya kuremove nywele za kule chini!!!(m a v u z i)
mawazo yenu....
Unaweza kutumia majivu ya moto. Unapakaa, baada ya dk 5 unapangusa. Zinapuruka tu!hakuna njia nyingine zaidi ya hiyo mashine?
hello jf... je ni njia gani nzuri zaidi kwa ajili ya kuremove nywele za kule chini!!!(m a v u z i)
mawazo yenu....
Hawaiti kuremove, wanaita ku"shave" halafu sio Private hair,zinaitwa pubic hairs.
Jifunze lugha.
Unaweza kutumia majivu ya moto. Unapakaa, baada ya dk 5 unapangusa. Zinapuruka tu!
Unaweza kutumia majivu ya moto. Unapakaa, baada ya dk 5 unapangusa. Zinapuruka tu!
Yap ni njia nzuri sana,kama anatatizo la kutoka vipele hapa mwisho wake.
We have a "common" experience, ila sikujua kama hata "ke" mnatumia kutokana na delicacy ya ile mahali, najaribu ku imagine iwapo kwa bahati."nzuri" yakaingia ndani ya vulva
Unaweza kutumia majivu ya moto. Unapakaa, baada ya dk 5 unapangusa. Zinapuruka tu!
kuingia kwa vulva sio ishu wajua vulva ni nini kwanza?
ungetaja vagina labda ingetia hofu
vulva ni sehemu ya nje ya uke inahusisha mashavu na vitu zingine
lakin ile njia imefunga na sio laini kama wakati wa kugegeda mida yote hivo hairuhusu foreign bodies kuascend
Jamani ya moto si utaungua?!
Hawaiti kuremove, wanaita ku"shave" halafu sio Private hair,zinaitwa pubic hair.
Jifunze lugha.