Best way to remove private hair(sehemu za siri)

Best way to remove private hair(sehemu za siri)

Zasasule

JF-Expert Member
Joined
Aug 12, 2009
Posts
1,001
Reaction score
103
hello jf... je ni njia gani nzuri zaidi kwa ajili ya kuremove nywele za kule chini!!!(m a v u z i)

mawazo yenu....
 
zipo mashine zake special original za kucharge zinarange kwenye 50,000/ ivi hazina maumivu kabisa.
 
Hawaiti kuremove, wanaita ku"shave" halafu sio Private hair,zinaitwa pubic hairs.
Jifunze lugha.

Ahsante kwa elimu.. Nobody is perfect in this world.. but nashkuru umenielewa nilichomaanisha,, so una idea yoyote juu ya suala hili?
 
Unaweza kutumia majivu ya moto. Unapakaa, baada ya dk 5 unapangusa. Zinapuruka tu!

We have a "common" experience, ila sikujua kama hata "ke" mnatumia kutokana na delicacy ya ile mahali, najaribu ku imagine iwapo kwa bahati."nzuri" yakaingia ndani ya vulva
 
We have a "common" experience, ila sikujua kama hata "ke" mnatumia kutokana na delicacy ya ile mahali, najaribu ku imagine iwapo kwa bahati."nzuri" yakaingia ndani ya vulva

kuingia kwa vulva sio ishu wajua vulva ni nini kwanza?
ungetaja vagina labda ingetia hofu
vulva ni sehemu ya nje ya uke inahusisha mashavu na vitu zingine
lakin ile njia imefunga na sio laini kama wakati wa kugegeda mida yote hivo hairuhusu foreign bodies kuascend
 
Hebu rudi google kwanza. Manake unatuingiza kichakani tukishuhudia!

Back
Top Bottom