mpenda pombe
JF-Expert Member
- Nov 17, 2010
- 1,406
- 711
Mwenyew napitapita humu sioni kama kuna ntachoambulia hapa
Mbona Wema hajamsindikiza domo
Kwa nauli ipi??? Ile ya South awashukuru sana fastjet kwa kumsaidia kuhamishia Tandale kule Bondeni.

Mwenzangu aishukur ofa ya fast jet, wambea eti wanakwambia ndomo ana hela kisa kawabeba mama ubaya na shoga ake cheusi dawa aunty ezekiel, nikasema kwa hela ipi awalipie? Wakat mambo ya ofa, angewabeba sasa na uko ulaya, maana yeye mwenyew naul kalipiwa
Ila ndomo safar zake zote hamuachi mchawi rommy jones , yaan madame kafanywa beki tatu wa kulinda nyumba na shoga ake cheusi dawa