Leak
JF-Expert Member
- Feb 22, 2012
- 52,916
- 43,505
Mkuu warumi kusema kwel sipendezwi ukitumia hilo neno kwenye red!Mwenzangu aishukur ofa ya fast jet, wambea eti wanakwambia ndomo ana hela kisa kawabeba mama ubaya na shoga ake cheusi dawa aunty ezekiel, nikasema kwa hela ipi awalipie? Wakat mambo ya ofa, angewabeba sasa na uko ulaya, maana yeye mwenyew naul kalipiwa
Ila ndomo safar zake zote hamuachi mchawi rommy jones , yaan madame kafanywa beki tatu wa kulinda nyumba na shoga ake cheusi dawa
Lakini naomba kuuliza hivi huyo Rommy hana Undugu na
Diamond? Maana naona Kama wanafanana kabisa.
Last edited by a moderator: