BET Awards mbona kimya?

BET Awards mbona kimya?

Mwenzangu aishukur ofa ya fast jet, wambea eti wanakwambia ndomo ana hela kisa kawabeba mama ubaya na shoga ake cheusi dawa aunty ezekiel, nikasema kwa hela ipi awalipie? Wakat mambo ya ofa, angewabeba sasa na uko ulaya, maana yeye mwenyew naul kalipiwa

Ila ndomo safar zake zote hamuachi mchawi rommy jones , yaan madame kafanywa beki tatu wa kulinda nyumba na shoga ake cheusi dawa
Mkuu warumi kusema kwel sipendezwi ukitumia hilo neno kwenye red!

Lakini naomba kuuliza hivi huyo Rommy hana Undugu na
Diamond? Maana naona Kama wanafanana kabisa.
 
Last edited by a moderator:
rommy wametoka mbali na domo.... ko jamaa hizi fursa anazitumia sawa sawa
binamu una maneno eti cheusi dawa..cheusi dawa ndoa IPO kweli???

Licha ya kutoka mbali ni ndugu Hao mtoto wa mama mdogo na mkubwa, wamekulia wote tandale wamelelewa kwa shida na raha kabla diamond haijatoka rommy ndio alikua wakishua jitandale tandale, diamond analipa fadhila now
 
rommy wametoka mbali na domo.... ko jamaa hizi fursa anazitumia sawa sawa
binamu una maneno eti cheusi dawa..cheusi dawa ndoa IPO kweli???

Bata tu anazila kwa kweli ila sidhan kama anajenga maisha yake, ivi hata sijui anakaa wap sijui kapanga au wanaishi wote na chai jaba

Mmh mwenzangu cheus dawa aunty ezekiel sidhan kama ana ndoa, maana nilisikiag umbea mumew yupo sero, sasa sijui kweli au la, na huyo serenget wake sijui anajisikiaje anaposikia mkewe anambebea bibi bomba mapochi na kumfulua chupi halafu ndo anajifanya ooh mume wangu ana hela, kwaza nasikia ndomo anawala wote cheusi dawa na shoga ake bibi bomba
 
Mkuu warumi kusema kwel sipendezwi ukitumia hilo neno kwenye red!

Lakini naomba kuuliza hivi huyo Rommy hana Undugu na
Diamond? Maana naona Kama wanafanana kabisa.

Mkuu utanisamehe maana diamond refu sana so nafanya kufupisha tu
 
Last edited by a moderator:
Ndomo sijui anarud lini jaman tukampokee shujaa wetu airport

hii ni habari mbaya na ya kusikitisha kwa sisi wajasiriamali wazee wa fursa kwanza tender yangu ya kuprint tshirt imeota mbawa, halafu imagine tungeandaa maconcert nchi nzima kuitemveza tuzo kwa mafans hivi ningekosa hata Toyota passo jamani?
 
hata si mashabiki wake ni habari mbaya
 
Back
Top Bottom