BET Awards mbona kimya?

BET Awards mbona kimya?

mpenda pombe

JF-Expert Member
Joined
Nov 17, 2010
Posts
1,406
Reaction score
711
Kama sikosei usiku huu ndio tuzo zinatolewa..

Tupeane updates wadau..
 
Mwenyew napitapita humu sioni kama kuna ntachoambulia hapa
 
hao international wamefanya shows jana kwenye pre BET ingia you tube utaona, hata hazina mzuka..leo wenye shuhuli ndo siku yao..washindi wa international act utaona tu link kwenye screen..kwa kifupi wanchukuliwa poa sana
 
Kwa nauli ipi??? Ile ya South awashukuru sana fastjet kwa kumsaidia kuhamishia Tandale kule Bondeni.

Mwenzangu aishukur ofa ya fast jet, wambea eti wanakwambia ndomo ana hela kisa kawabeba mama ubaya na shoga ake cheusi dawa aunty ezekiel, nikasema kwa hela ipi awalipie? Wakat mambo ya ofa, angewabeba sasa na uko ulaya, maana yeye mwenyew naul kalipiwa

Ila ndomo safar zake zote hamuachi mchawi rommy jones , yaan madame kafanywa beki tatu wa kulinda nyumba na shoga ake cheusi dawa
 
Aghaghagh we mkali..
 
rommy wametoka mbali na domo.... ko jamaa hizi fursa anazitumia sawa sawa
binamu una maneno eti cheusi dawa..cheusi dawa ndoa IPO kweli???
 
TAYARI DAVIDO AMESHACHUKUA MZIGO
attachment.php
 
Attachments

  • davido2.jpg
    davido2.jpg
    40.7 KB · Views: 404
Hahahaa domo arudishe nanihii zake nyumbani. Aendelee kushine katika yale magazeti yake
 
Back
Top Bottom