Richard spencer
JF-Expert Member
- Feb 22, 2021
- 1,225
- 1,993
Unafiki unao wewe.labda nikukumbushe jibu nililokupa mwanzo, Hakuna anaekatazwa kumpigia kura msanii yoyote na hiyo sio hoja iliyoleta huu mjadala hoja ni sababu za wewe na wanaharati kutaka atolewe kwenye hizo tuzo. Sababu zenu ndipo unafiki wenu ulipo na hilo nimekueleza mwanzo unaweza kwenda kurudia kusoma.Acha ujinga wewe! Hilo la domo kuguswa na maovu dhidi ya Wanigeria hulioni lakini wakati huo huo unakunaliana ba haki ya domo ila haki ya wanaotaka kupiga kura kwa mwanamuziki ambaye si MTANZANIA unaipinga!!! Tuondolee UNAFIKI wako hapa!!! Wapuuzi kama wewe ni tatizo kubwa sana Nchini.