BET wamposti Diamond Platnumz Instagram

BET wamposti Diamond Platnumz Instagram

Akafe mbele huyo, mimi nina njaa saa hii ,nifatilie upuuzi wa eti Daimondi sijui kafanya hivi au vile...
 
Anaujini kwasababu hajaenguliwa kama mlivyokuwa mnataka, nyinyi na yule Mungu wenu wa Twitter.
Emu kuweni na utulivu basi mbona mnakimbiza mambo kuliko yenyewe yalivo ko asubuhi mchana anaenguliwa
 
Dola tumewachia Magufuli, Bashiru na Mahera... Ngoja tumshikishe adabu huyu mshabikia udhalimu kwanza. Baadae tutarudi huko kwenye dola. Halafu kumbuka kuwa kuandika kwa herufi kubwa ni ujinga. Unampa shida bure moderator kubadili herufi zako kubwa kuwa ndogo. Hivi huwa mnasoma wapi nyie... Ama ndio elimu bila karo?
Nimepita katika mitandao ya kijamii nilichoshaa ni kuona chama kinachopambana kuchukua dola eti kimejielekeza kufanya vita na propaganda zote kwa mtu mmoja tena msanii na kusahau mikakati yao ya kupambania dola ndio kusema nguvu hii kubwa inatafsiri nini? Je Diamond ndio dola yenyewe? [emoji38][emoji38][emoji38]

Mpaka hapa Diamond ameonyesha ukubwa wake sio mchezo. Cha ajabu BET wenyewe wamempost Diamond Simba petition iko wapi?

Naweza kusema kwa hali inavyokwenda Diamond afanye yafuatayo:
@ awe makini zaidi kuliko kipindi chochote
@ aongeze ulinzi na awe na mtu wa kufanya tathmini ya hali ya usalama dhidi yake
@ mafans wake waongeze nguvu ya kujibu mashambulizi dhidi ya boss wao

Nawakumbusha katika anga/ulimwengu wa mitandao ya KIJAMII WASANII WANA NGUVU KULIKO MWANASIASA

Nimepita kuwakumbusha [emoji2327][emoji2327][emoji2327]
 
Si unaona ulivyo kilaza na mwepesi wa kutoka nje ya mstari. Wewe na wanaharakati mnasema bwana Diamond hastahili kupata hizo tuzo sababu aliungana na Magufuli sasa hivi unaleta habari za watanzania kulazimishwa kupiga kura. Nitakuelewesha sababu pengine unafata mkumbo au legit stupid.

Swala la watanzania kumpigia kura msanii yeyote ndilo lililokuwa mwanzo na hakuna anayepinga hilo ninyi mmekuja na kampeni kwamba aondolewe sababu alimuunga mkono Magufuli na hapo ndipo swali linapokuja je kuwa ccm au kumuunga mkono magufuli amevunja sheria gani? Unasema hakuna ulipoandika amevunja sheria hivyo unakubali kwamba hakuvunja sheria, sasa kama unakubali hilo kwanini upige kampeni ya kuondolewa sababu alimuunga mkono Magufuli na sio Chadema wakati huohuo unasema Magufuli alikandamiza uhuru wa watu ambao hawakuvunja sheria.

Tayari unaniambia nakumbatia udikteta lakini hii ni kwa sababu naheshimu maamuzi na mawazo ya Diamond hata kama sikubaliani nayo.
Achana nae huyo mkuu anafata mkumbo tu, yani kisa yeye ni chadema basi kila watakachoanzisha hao wanaharakati basi na yeye anaunga tela. Na watu kama hawa niwengi sana humu jf. Wao huwa hawakosei na wanajua kila kitu, hizo ndo sifa zao na kingine ni wasomi. Lakini cha ajabu akili zao wameshikiwa na hao wakuitwa wanaharakati.

Naikubali chadema ila baadhi ya movements zao za kipuuzi huwa siungani nao.
 
Tuonyeshe kikao cha chadema cha kumkataa domo! Nae ajifunze aache siasa yeye apige music tu
 
Dola tumewachia Magufuli, Bashiru na Mahera... Ngoja tumshikishe adabu huyu mshabikia udhalimu kwanza. Baadae tutarudi huko kwenye dola. Halafu kumbuka kuwa kuandika kwa herufi kubwa ni ujinga. Unampa shida bure moderator kubadili herufi zako kubwa kuwa ndogo. Hivi huwa mnasoma wapi nyie... Ama ndio elimu bila karo?

[emoji15] hivi na wewe ushafuta ujinga [emoji16][emoji16][emoji16]
 
Tuonyeshe kikao cha chadema cha kumkataa domo! Nae ajifunze aache siasa yeye apige music tu

Post zote mmefuta baada ya kuona chama kilikurupuka [emoji38][emoji38][emoji38] sasa mmewaachia wapiga propaganda waendeleze ili kuua soo [emoji854] ila Diamond ni mkubwa kuliko Chadema aisee
 
Ili kupima ujinga wako, si muda mrefu moderator atabadilisha maherufi kubwa [KWA HALI ILIVYO DIAMOND AONGEZE KUJILINDA] yako kwenye title kuwa herufi ndogo.
[emoji15] hivi na wewe ushafuta ujinga [emoji16][emoji16][emoji16]
 
Back
Top Bottom