BET wamposti Diamond Platnumz Instagram

BET wamposti Diamond Platnumz Instagram

Nimepita katika mitandao ya kijamii nilichoshaa ni kuona chama kinachopambana kuchukua dola eti kimejielekeza kufanya vita na propaganda zote kwa mtu mmoja tena msanii na kusahau mikakati yao ya kupambania dola ndio kusema nguvu hii kubwa inatafsiri nini? Je Diamond ndio dola yenyewe? [emoji38][emoji38][emoji38]

Mpaka hapa Diamond ameonyesha ukubwa wake sio mchezo. Cha ajabu BET wenyewe wamempost Diamond Simba petition iko wapi?

Naweza kusema kwa hali inavyokwenda Diamond afanye yafuatayo:
@ awe makini zaidi kuliko kipindi chochote
@ aongeze ulinzi na awe na mtu wa kufanya tathmini ya hali ya usalama dhidi yake
@ mafans wake waongeze nguvu ya kujibu mashambulizi dhidi ya boss wao

Nawakumbusha katika anga/ulimwengu wa mitandao ya KIJAMII WASANII WANA NGUVU KULIKO MWANASIASA

Nimepita kuwakumbusha [emoji2327][emoji2327][emoji2327]
 
Acha ujinga wewe sasa kama wewe unaheshimu maamuzi ya domo pamoja na kutoyakubali sasa iweje UNUNE kwa wale ambao wanataka kumpigia kura msanii mwingine? Mbona una undumilakuwili? Acha upumbavu wako!
Unarudia kutoka nje ya mstari either kwa makusudi au ujinga uliokuzidi kichwa. Mimi nayaheshimu mawazo yake nawasema ninyi kwa unafiki wenu kuhusu sababu za kwa nini aondolewe. Mnahubiri uhuru lakini hamtaki uhuru huo watu wenye mawazo na mitazamo tofauti na ninyi waufurahie. Ungekuwa undumi la kuwili kama ningekwambia usimpe kura msanii unaemtaka alafu me simtaki.
 
Let's be fair?! Are you?! Nimekuuliza: Ikiwa KILA MMOJA ana haki ya kuchagua upande wa burudani; sasa kwanini waendeshe kampeni za kutaka aenguliwe kwenye BET Awrads? Kwanini wasiache mashabiki wa burudani wafanye maamuzi kwa utashi wao badala ya kuhangaika kutaka aondolewe?! Hivi hapo kuna tofauti gani na utawala wa JPM waliokuwa wanaulalamikia kwa kuengua watu kwenye chaguzi? Jibu hapo kwanza!!
Akikujibu nitag
 
Nimepita katika mitandao ya kijamii nilichoshaa ni kuona chama kinachopambana kuchukua dola eti kimejielekeza kufanya vita na propaganda zote kwa mtu mmoja tena msanii na kusahau mikakati yao ya kupambania dola ndio kusema nguvu hii kubwa inatafsiri nini? Je Diamond ndio dola yenyewe? [emoji38][emoji38][emoji38]

Mpaka hapa Diamond ameonyesha ukubwa wake sio mchezo. Cha ajabu BET wenyewe wamempost Diamond Simba petition iko wapi?

Naweza kusema kwa hali inavyokwenda Diamond afanye yafuatayo:
@ awe makini zaidi kuliko kipindi chochote
@ aongeze ulinzi na awe na mtu wa kufanya tathmini ya hali ya usalama dhidi yake
@ mafans wake waongeze nguvu ya kujibu mashambulizi dhidi ya boss wao

Nawakumbusha katika anga/ulimwengu wa mitandao ya KIJAMII WASANII WANA NGUVU KULIKO MWANASIASA

Nimepita kuwakumbusha [emoji2327][emoji2327][emoji2327]
Chama gani!!?

Kigogo nae ni chama acheni kuzusha uongo.
 
Kabisa,
Kuna watu wanawivu wa kurithi na ndo wanaoendesha iyo kampeni
 
Ni vizuri kuheshimu maoni na hisia za watu hata kama zinapingana na za kwako, kwa kuwa wewe upo upande wa diamond, haimaanishi kwamba kila mtu atakua upande huo, kama diamond ni mkamilifu na ana qualifications zote za kushinda hiyo award, mimi naamini atashinda hata kama wanaharakati wanampinga, kuweni tu watulivu hakuna haja ya kuwaita wenzenu mazezeta, ndio maana halisi ya demokrasia, kila mmoja ana haki ya kuchagua upande anaoutaka, diamond alikua upande wa ccm wakati wa kampeni, kuna mpinzania alimzuia? Jibu ni hakuna kwa sababu tunaamini kila mtu ana haki ya kuchagua upande anaoupenda

Wafuasi wa diamond wamepanic sijajua kwa nini ila mimi nadhani ingekua vizuri kama mngeonyesha confidence kwa msanii wenu, msitetereshwe na yanayoendelea mtandaoni maana BET wenyewe wana vigezo vyao ambavyo wanavizingatia, kama amekidhi vigezo basi kombe la kwake
Nyinyi pia mjifunze kuheshimu uamzi wa Diamond kuside na CCM, yani nyinyi mnatama tuheshimu mawazo yenu ilihali nyinyi hamtaki kuheshimu mawazo ya Diamond mwenyewe?

Kila siku nasema humu, kushinda au kushindwa kwa diamond katika hiyo tuzo hakuhusiani kabisa na hawa wanaharakati uchwara wa Tz. Na kama mnahisi huo uwezo mnao, basi amueni hata leo yule msanii wenu ROMA ashinde tuzo ya BET[emoji23].
 
Back
Top Bottom