Napoleone
JF-Expert Member
- Apr 11, 2012
- 10,087
- 16,036
Hhaahhahaha..safi sanaHapana ni ya kwako mkuu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hhaahhahaha..safi sanaHapana ni ya kwako mkuu
Naaaaaam[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kama nyama kwenye sambusa?
Huamin 🤣🤣🤣 Diamond ni jiniHiyo ni page yao?
Sasa we utapost vipi kipicha hakina uthibitisho, ishathibitishwa na mdau hapo juu.....ujini gani unaosemea? Si wamepostiwa wote au ni yeye peke yake?Huamin 🤣🤣🤣 Diamond ni jini
Una akili sana .Anasema usichanganye Burdani na siasa wakati mhusika alichanganyaThat means Diamond ni zezeta namba moja maana aliingiza burudani kwenye siasa, waache wazungumze wanayo haki ya kuandika whatever they want, relax and enjoy the show, this is a fair play
Mwambie hata wachezaji huvaa bendera ya nchi fulan kama kuna mzozo wa kisiasa kuonyesha upande anaounga mkono hata hivyo mpira unajitegemea na siasa zinajitegemea , hao wanaharakati wa Twitter wengi wao wameishia la saba au hawajui criteria za Sanaa na hvyo wakaingia mkenge ...Leo hii serikali ikiingilia kibabe maamuz ya TFF yanarayoratibiwa na FIFA , chap Tu kidogo Tanzania inafungiwa michezo ya kimataifa ....jamaa wanajua kwenye siasa kuna niniUna safari ndefu ya kuelewa!!! Mwanamuziki kuimba nyimbo za siasa au kushiriki siasa hiyo sio kuchanganya burudani/muziki na siasa kwa sababu kila mmoja ana haki ya kushiriki siasa!! Msanii atakuwa anachanganya muziki na siasa endapo kwa mfano, yupo kwenye show ya kawaida ya kimuziki halafu wakati wa shoo akaanza kuongelea siasa au kupiga kampeni wakati ilikuwa ni purely entertainment tour!
Mkuu mbna page zote za BET zimempost jamaa , na ameonekana kusupportiwa Sana kuliko nominee mwingineSasa we utapost vipi kipicha hakina uthibitisho, ishathibitishwa na mdau hapo juu.....ujini gani unaosemea? Si wamepostiwa wote au ni yeye peke yake?
Hashindwi mkuu mpaka sasa anaongoza kwa kura 4000+ huku mpinzani anaemfatia burnaboy akiwa na kura 400+ .Angalia ulichoandika kisha jitifakari!!! Sasa kama ni suala la maoni binafsi how come tena wanakesha kupiga kampeni badala ya kuwaacha watu wafanye maamuzi vile wanavyoona wao inafaa?! Na kwa taarifa yako, mimi sio mfuasi wa Diamond lakini ni uzezeta kuingiza siasa kwenye burudani!!
In short, hao unaojaribu kuwatetea, wameumbuka!! Kushinda ama kutoshinda kwa Diamond katu hakutatokana na kampeni za akina Maria Sarungi bali kutokana na vigezo vya BET wenyewe ingawaje endapo hatashinda, watataka kuaminisha watu kwamba ameshindwa kutokana na kampeni zao!!!
Huyo ndo mahindi mkuu, kura inapigwa kwa likes za insta sasa bongo na insta si ni nyuki na asali.Mkuu mbna page zote za BET zimempost jamaa , na ameonekana kusupportiwa Sana kuliko nominee mwingine
Kafie mbaliNaombeni link nikampigie Barna Boy kura
Kama ni kweli safi sana mkuu.Hashindwi mkuu mpaka sasa anaongoza kwa kura 4000+ huku mpinzani anaemfatia burnaboy akiwa na kura 400+ .
Wanamuonea sana huyu mchizi aisee 98% ya wasanii walikua ccm ila wamekomaa na mond tu.Kama ni kweli safi sana mkuu.
Kuna njia nyingi za kuonyesha kwamba hamkubaliani na jambo ikiwa ni pamoja na maandamano, kugomea jambo fulani, kutengeneza machapisho nk, hii wanayofanya wanaharakati ni nija moja wapo ya kuelezea hisa zao kwa ulimwengu juu ya utawala ulioacha alama zisizofutika kwa wananchi, na wale wote walioshiriki katika kukandamiza wananchi ndio hao wanaogomewa kama akina daimond, niliwahi ona twitter wanaharakati wakigomea maziwa ya ASAS, kwangu mimi nilichukulia ni jambo dogo sana lakini kuna mdau mmoja wa kiwanda cha ASAS aliniambia ule mwezi waliingiza hasara kubwa sana na walikua wanakaa vikao visivyoisha kutafuta namna ya kudeal na hiyo damageMshindwe kutafuta suluhu za maisha yenu hapa Bongo, mje mtake BET waingilie kati
I am not justifying against anyone, actually we should't be botherd by such things, kwangu mimi naona sawa tu maana hata diamond akishinda au asiposhinda it adds nothing to my plate, i was only trying to make it clear kwamba wana haki ya kuamua upande wanaotaka na hatuna sababu kuwa stressed na choices zao.Hata CCM walikuwa wanatoa sababu za kuengua wapinzani kwenye vinyang'anyiro vya uchaguzi!!! Kumbuka, hoja yako ni kwamba kila mmoja ana haki ya kuchagua upande autakao kwahiyo unashangaza unapojaribu ku-justify harakati zinazolenga kuzuia haki unayoisema!!! Au ndo yale yale ya akina Maria Sarungi kwamba Magu akiengua wapinzani basi anageuka kuwa monster lakini wao hao hao leo wanapiga kampeni za kutaka mtu aenguliwe badala ya kuacah system ifanye kazi!!!
Inapendeza....😁Mkuu mbna page zote za BET zimempost jamaa , na ameonekana kusupportiwa Sana kuliko nominee mwingine
Wewe umeamua kuchukua njia ipi kati ya hizo ulizozitaja?Kuna njia nyingi za kuonyesha kwamba hamkubaliani na jambo ikiwa ni pamoja na maandamano, kugomea jambo fulani, kutengeneza machapisho nk, hii wanayofanya wanaharakati ni nija moja wapo ya kuelezea hisa zao kwa ulimwengu juu ya utawala ulioacha alama zisizofutika kwa wananchi, na wale wote walioshiriki katika kukandamiza wananchi ndio hao wanaogomewa kama akina daimond, niliwahi ona twitter wanaharakati wakigomea maziwa ya ASAS, kwangu mimi nilichukulia ni jambo dogo sana lakini kuna mdau mmoja wa kiwanda cha ASAS aliniambia ule mwezi waliingiza hasara kubwa sana na walikua wanakaa vikao visivyoisha kutafuta namna ya kudeal na hiyo damage
We should not underate the power of the so called social media au wanaharakati
Mimi sio mdau wa burudani wala mdau wa siasa, lakini naheshimu maamuzi ya kila mmoja, naheshimu pia mawazo yao na njia zao za kupigania haki, penye dhulma sitanyamaza, cha msingi ni kwamba kila mtu anatumia haki yake na uhuru wake sawasawa na katiba bila kupendelea upande wowoteWewe umeamua kuchukua njia ipi kati ya hizo ulizozitaja?
So,unaheshimu maamuzi ya Diamond pia sio?Mimi sio mdau wa burudani wala mdau wa siasa, lakini naheshimu maamuzi ya kila mmoja, naheshimu pia mawazo yao na njia zao za kupigania haki, penye dhulma sitanyamaza, cha msingi ni kwamba kila mtu anatumia haki yake na uhuru wake sawasawa na katiba bila kupendelea upande wowote
Hahaha Hapa tayari mataga wa madale umepanic.Unataka akutindue makinikia ?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nireteeeeni Burna Boy
Nireteeeeeeeni Burna Boy
Nireteeeeeeeeeeeeni Burna Boy