Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umehemkwa....Hapana ni ya kwako mkuu
Sio tuzo, ila kususia ku retweet ama ku repost kisa chama fulani kilikua naye inaonyesha tusivyopenda vya kwetuHio ndio tuzo?
Nadhani wamepost nominees wote, sio simba peke yake, hata burna boy
Kumbe wana BET voting ACADEMY ? Aisee wale waliokuwa wanabishana mtandaoni aibu
Ya Maria SarungiHiyo ni page yao?
Ni vizuri kuheshimu maoni na hisia za watu hata kama zinapingana na za kwako, kwa kuwa wewe upo upande wa diamond, haimaanishi kwamba kila mtu atakua upande huo, kama diamond ni mkamilifu na ana qualifications zote za kushinda hiyo award, mimi naamini atashinda hata kama wanaharakati wanampinga, kuweni tu watulivu hakuna haja ya kuwaita wenzenu mazezeta, ndio maana halisi ya demokrasia, kila mmoja ana haki ya kuchagua upande anaoutaka, diamond alikua upande wa ccm wakati wa kampeni, kuna mpinzania alimzuia? Jibu ni hakuna kwa sababu tunaamini kila mtu ana haki ya kuchagua upande anaoupendaHujaelewa!! Akina Maria Sarungi na baadhi ya Mazezeta ya CHADEMA kwa siku kadhaa sasa wanakesha Twitter kupiga kampeni ya kutaka Diamond aondolewe kwenye nomination za BET!! Wamehamasishana hadi kusaini petition ili mradi tu aondolewe! Kwahiyo anachojaribu kusema mleta mada ni kwamba, pamoja petition yao ya kutaka Diamond aenguliwe, lakini bado hajaenguliwa, na wala hataenguliwa!
Kuna watu wanapelekeshwa huko mitandaoni kama mang'ombe,Sio tuzo, ila kususia ku retweet ama ku repost kisa chama fulani kilikua naye inaonyesha tusivyopenda vya kwetu
Chawa mbona mnapanic kwa vitu vidogo hivi? Kapost picha tu haioneshi uthibitisho wa page....kuna mdau karepost picha ikionesha account ina blue tick hivo ndivyo ilitakiwa kuwa.Ya Maria Sarungi
Twende na giant of Africa #BurnaBoyChawa mbona mnapanic kwa vitu vidogo hivi? Kapost picha tu haioneshi uthibitisho wa page....kuna mdau karepost picha ikionesha account ina blue tick hivo ndivyo ilitakiwa kuwa.
Acheni mihemko.
Twende na giant of Africa #BurnaBoy
Angalia ulichoandika kisha jitifakari!!! Sasa kama ni suala la maoni binafsi how come tena wanakesha kupiga kampeni badala ya kuwaacha watu wafanye maamuzi vile wanavyoona wao inafaa?! Na kwa taarifa yako, mimi sio mfuasi wa Diamond lakini ni uzezeta kuingiza siasa kwenye burudani!!Ni vizuri kuheshimu maoni na hisia za watu hata kama zinapingana na za kwako, kwa kuwa wewe upo upande wa diamond, haimaanishi kwamba kila mtu atakua upande huo, kama diamond ni mkamilifu na ana qualifications zote za kushinda hiyo award, mimi naamini atashinda hata kama wanaharakati wanampinga, kuweni tu watulivu hakuna haja ya kuwaita wenzenu mazezeta, ndio maana halisi ya demokrasia, kila mmoja ana haki ya kuchagua upande anaoutaka, diamond alikua upande wa ccm wakati wa kampeni, kuna mpinzania alimzuia? Jibu ni hakuna kwa sababu tunaamini kila mtu ana haki ya kuchagua upande anaoupenda
Wafuasi wa diamond wamepanic sijajua kwa nini ila mimi nadhani ingekua vizuri kama mngeonyesha confidence kwa msanii wenu, msitetereshwe na yanayoendelea mtandaoni maana BET wenyewe wana vigezo vyao ambavyo wanavizingatia, kama amekidhi vigezo basi kombe la kwake
That means Diamond ni zezeta namba moja maana aliingiza burudani kwenye siasa, waache wazungumze wanayo haki ya kuandika whatever they want, relax and enjoy the show, this is a fair playHivi umeangalia ulichoandika?! Sasa kama ni suala la maoni binafsi how come tena wanakesha kupiga kampeni badala ya kuwaacha watu wafanye maamuzi vile wanavyoona wao inafaa?! Na kwa taarifa yako, mimi sio mfuasi wa Diamond lakini ni uzezeta kuingiza siasa kwenye burudani!!
Nireteeeeni Burna BoyNaombeni link nikampigie Barna Boy kura