The Icebreaker
JF-Expert Member
- Feb 11, 2018
- 22,278
- 65,817
Kumbe "Unadhani" tu! Nikajua labda una uhakika.Nadhani wamepost nominees wote, sio simba peke yake, hata burna boy
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kumbe "Unadhani" tu! Nikajua labda una uhakika.Nadhani wamepost nominees wote, sio simba peke yake, hata burna boy
Una safari ndefu ya kuelewa!!! Mwanamuziki kuimba nyimbo za siasa au kushiriki siasa hiyo sio kuchanganya burudani/muziki na siasa kwa sababu kila mmoja ana haki ya kushiriki siasa!! Msanii atakuwa anachanganya muziki na siasa endapo kwa mfano, yupo kwenye show ya kawaida ya kimuziki halafu wakati wa shoo akaanza kuongelea siasa au kupiga kampeni wakati ilikuwa ni purely entertainment tour!That means Diamond ni zezeta namba moja maana aliingiza burudani kwenye siasa, waache wazungumze wanayo haki ya kuandika whatever they want, relax and enjoy the show, this is a fair play
That's your perspectiveKumbe "Unadhani" tu! Nikajua labda una uhakika.
Ni kweli kila mmoja ana haki ya kushiriki siasa tena ni haki ya kikatiba, likewise kila mmoja ana haki ya kuchagua upande wa burudani anaoupenda na kutoa maoni yake bila kujali inaathiri uzalendo au la, ndio maana nilisema mwanzo kwamba tuheshimu demokrasia, waache wanaharakati waandike au wapinge nomination ya Diamond, kama amekidhi vigezo wasiwasi ni wa niniUna safari ndefu ya kuelewa!!! Mwanamuziki kuimba nyimbo za siasa au kushiriki siasa hiyo sio kuchanganya burudani/muziki na siasa kwa sababu kila mmoja ana haki ya kushiriki siasa!! Msanii atakuwa anachanganya muziki na siasa endapo kwa mfano, yupo kwenye show ya kawaida ya kimuziki halafu wakati wa shoo akaanza kuongelea siasa wakati it's just a musical tour!
Let's be fair?! Are you?! Nimekuuliza: Ikiwa KILA MMOJA ana haki ya kuchagua upande wa burudani; sasa kwanini waendeshe kampeni za kutaka aenguliwe kwenye BET Awrads? Kwanini wasiache mashabiki wa burudani wafanye maamuzi kwa utashi wao badala ya kuhangaika kutaka aondolewe?! Hivi hapo kuna tofauti gani na utawala wa JPM waliokuwa wanaulalamikia kwa kuengua watu kwenye chaguzi? Jibu hapo kwanza!!Ni kweli kila mmoja ana haki ya kushiriki siasa tena ni haki ya kikatiba, likewise kila mmoja ana haki ya kuchagua upande wa burudani anaoupenda na kutoa maoni yake bila kujali inaathiri uzalendo au la, ndio maana nilisema mwanzo kwamba tuheshimu demokrasia, waache wanaharakati waandike au wapinge nomination ya Diamond, kama amekidhi vigezo wasiwasi ni wa nini
Lets be fair
Mnajitahidi kujipa nafuuBet africa ni katawi tu ka Bet huku africa na wamepost nominees kutokea Africa..don't get twisted.
Kwani Haukujua Kaka? Huyo Mwijaku Alikuwa anapiga Makelele Tu, Hana Uwezo Wa Kumpigia Burnaboy KuraKumbe wana BET voting ACADEMY ? Aisee wale waliokuwa wanabishana mtandaoni aibu
Naona Petition imeshindwa , tatizo wanachanganya sana siasa na mambo mengineMkuu Elmu yetu ipo chini sana ya kiwango . Hayo mambo ya ubishi wa mitandao ni sifa ya Elimu yetu.
Unamaanisha niniKumbe wana BET voting ACADEMY ? Aisee wale waliokuwa wanabishana mtandaoni aibu
sio lazima tujue upo upande upi[emoji16] Mi shabiki sana wa diamond, ila anachokipata sahivi kutoka kwa wanaharakati anadeserve....
Wametoa sababu za kutaka aenguliwe, its up to BET to decide, ni kama tu wakati wa kampeni za ccm daimond alitoa sababu za kuwa ccm, same applies to these so called wanaharakati wanatoa sababu kwa nini wanataka burna boy ashinde na diamond aenguliwe,i do not see any problem, kila mtu anapigia kampeni mgombea wake😎 don't take it too serious you can't shut them up, lets be observersLet's be fair?! Are you?! Nimekuuliza: Ikiwa KILA MMOJA ana haki ya kuchagua upande wa burudani; sasa kwanini waendeshe kampeni za kutaka aenguliwe kwenye BET Awrads? Kwanini wasiache mashabiki wa burudani wafanye maamuzi kwa utashi wao badala ya kuhangaika kutaka aondolewe?! Hivi hapo kuna tofauti gani na utawala wa JPM waliokuwa wanaulalamikia kwa kuengua watu kwenye chaguzi? Jibu hapo kwanza!!
Sio lazima ila ni muhimusio lazima tujue upo upande upi
Unataka akutindue makinikia ?Nireteeeeni Burna Boy
Nireteeeeeeeni Burna Boy
Nireteeeeeeeeeeeeni Burna Boy
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kama nyama kwenye sambusa?Sio lazima ila ni muhimu
Mshindwe kutafuta suluhu za maisha yenu hapa Bongo, mje mtake BET waingilie katiWametoa sababu za kutaka aenguliwe, its up to BET to decide, ni kama tu wakati wa kampeni za ccm daimond alitoa sababu za kuwa ccm, same applies to these so called wanaharakati wanatoa sababu kwa nini wanataka burna boy ashinde na diamond aenguliwe,i do not see any problem, kila mtu anapigia kampeni mgombea wake[emoji41] don't take it too serious you can't shut them up, lets be observers
Ungetuelezea basi nani anastahili kupiga kuraYap, siyo kila mtu anapiga kura, ni kushindwa kuelewa kwa watu
Hata CCM walikuwa wanatoa sababu za kuengua wapinzani kwenye vinyang'anyiro vya uchaguzi!!! Kumbuka, hoja yako ni kwamba kila mmoja ana haki ya kuchagua upande autakao kwahiyo unashangaza unapojaribu ku-justify harakati zinazolenga kuzuia haki unayoisema!!! Au ndo yale yale ya akina Maria Sarungi kwamba Magu akiengua wapinzani basi anageuka kuwa monster lakini wao hao hao leo wanapiga kampeni za kutaka mtu aenguliwe badala ya kuacah system ifanye kazi!!!Wametoa sababu za kutaka aenguliwe, its up to BET to decide, ni kama tu wakati wa kampeni za ccm daimond alitoa sababu za kuwa ccm, same applies to these so called wanaharakati wanatoa sababu kwa nini wanataka burna boy ashinde na diamond aenguliwe,i do not see any problem, kila mtu anapigia kampeni mgombea wake😎 don't take it too serious you can't shut them up, lets be observers