BET wamposti Diamond Platnumz Instagram

BET wamposti Diamond Platnumz Instagram

That means Diamond ni zezeta namba moja maana aliingiza burudani kwenye siasa, waache wazungumze wanayo haki ya kuandika whatever they want, relax and enjoy the show, this is a fair play
Una safari ndefu ya kuelewa!!! Mwanamuziki kuimba nyimbo za siasa au kushiriki siasa hiyo sio kuchanganya burudani/muziki na siasa kwa sababu kila mmoja ana haki ya kushiriki siasa!! Msanii atakuwa anachanganya muziki na siasa endapo kwa mfano, yupo kwenye show ya kawaida ya kimuziki halafu wakati wa shoo akaanza kuongelea siasa au kupiga kampeni wakati ilikuwa ni purely entertainment tour!
 
Kama tuzo ingetokana na comments kwenye Instagram page then Chibu angeibeba mapeema maana comments zometia fora
 
Una safari ndefu ya kuelewa!!! Mwanamuziki kuimba nyimbo za siasa au kushiriki siasa hiyo sio kuchanganya burudani/muziki na siasa kwa sababu kila mmoja ana haki ya kushiriki siasa!! Msanii atakuwa anachanganya muziki na siasa endapo kwa mfano, yupo kwenye show ya kawaida ya kimuziki halafu wakati wa shoo akaanza kuongelea siasa wakati it's just a musical tour!
Ni kweli kila mmoja ana haki ya kushiriki siasa tena ni haki ya kikatiba, likewise kila mmoja ana haki ya kuchagua upande wa burudani anaoupenda na kutoa maoni yake bila kujali inaathiri uzalendo au la, ndio maana nilisema mwanzo kwamba tuheshimu demokrasia, waache wanaharakati waandike au wapinge nomination ya Diamond, kama amekidhi vigezo wasiwasi ni wa nini

Lets be fair
 
Let's be fair?! Are you?! Nimekuuliza: Ikiwa KILA MMOJA ana haki ya kuchagua upande wa burudani; sasa kwanini waendeshe kampeni za kutaka aenguliwe kwenye BET Awrads? Kwanini wasiache mashabiki wa burudani wafanye maamuzi kwa utashi wao badala ya kuhangaika kutaka aondolewe?! Hivi hapo kuna tofauti gani na utawala wa JPM waliokuwa wanaulalamikia kwa kuengua watu kwenye chaguzi? Jibu hapo kwanza!!
 
Sisi konde gengi tunasema Kura zote kwa Bana Boy #EndSars #KondeMuzicWorldwide 🐒🤸‍♂️🤣
 
Let's be fair?! Are you?! Nimekuuliza: Ikiwa KILA MMOJA ana haki ya kuchagua upande wa burudani; sasa kwanini waendeshe kampeni za kutaka aenguliwe kwenye BET Awrads? Kwanini wasiache mashabiki wa burudani wafanye maamuzi kwa utashi wao badala ya kuhangaika kutaka aondolewe?! Hivi hapo kuna tofauti gani na utawala wa JPM waliokuwa wanaulalamikia kwa kuengua watu kwenye chaguzi? Jibu hapo kwanza!!
Wametoa sababu za kutaka aenguliwe, its up to BET to decide, ni kama tu wakati wa kampeni za ccm daimond alitoa sababu za kuwa ccm, same applies to these so called wanaharakati wanatoa sababu kwa nini wanataka burna boy ashinde na diamond aenguliwe,i do not see any problem, kila mtu anapigia kampeni mgombea wake😎 don't take it too serious you can't shut them up, lets be observers
 
Wametoa sababu za kutaka aenguliwe, its up to BET to decide, ni kama tu wakati wa kampeni za ccm daimond alitoa sababu za kuwa ccm, same applies to these so called wanaharakati wanatoa sababu kwa nini wanataka burna boy ashinde na diamond aenguliwe,i do not see any problem, kila mtu anapigia kampeni mgombea wake[emoji41] don't take it too serious you can't shut them up, lets be observers
Mshindwe kutafuta suluhu za maisha yenu hapa Bongo, mje mtake BET waingilie kati
 
Wametoa sababu za kutaka aenguliwe, its up to BET to decide, ni kama tu wakati wa kampeni za ccm daimond alitoa sababu za kuwa ccm, same applies to these so called wanaharakati wanatoa sababu kwa nini wanataka burna boy ashinde na diamond aenguliwe,i do not see any problem, kila mtu anapigia kampeni mgombea wake😎 don't take it too serious you can't shut them up, lets be observers
Hata CCM walikuwa wanatoa sababu za kuengua wapinzani kwenye vinyang'anyiro vya uchaguzi!!! Kumbuka, hoja yako ni kwamba kila mmoja ana haki ya kuchagua upande autakao kwahiyo unashangaza unapojaribu ku-justify harakati zinazolenga kuzuia haki unayoisema!!! Au ndo yale yale ya akina Maria Sarungi kwamba Magu akiengua wapinzani basi anageuka kuwa monster lakini wao hao hao leo wanapiga kampeni za kutaka mtu aenguliwe badala ya kuacah system ifanye kazi!!!
 
Back
Top Bottom